Bongo Tech Giant
Member
- Aug 23, 2025
- 66
- 109
Sioni kipya sana cha kumfanya ateke sokoKampuni ya Tesla, inayojulikana kwa ubunifu katika magari ya umeme na nishati safi, sasa imeingia rasmi kwenye soko la simu za kisasa kwa kuzindua Tesla Pi Max. Simu hii imeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu na inalenga kushindana moja kwa moja na iPhone na Samsung katika soko la simu za kiwango cha juu.
View attachment 3450182
Vipengele Vikuu vya Tesla Pi Max
Kioo na Muundo: Kioo cha inchi 6.78 QHD+ AMOLED, Refresh Rate ya 144Hz, HDR10+, pamoja na kinga ya Gorilla Glass. Muundo wa metali na glasi unaipa sura ya kifahari.
Betri na Kuchaji: Ina betri kubwa ya 6000mAh yenye teknolojia ya kuchaji haraka ya 100W, ikijaza simu kutoka 0% hadi 100% kwa chini ya dakika 30.
Utendaji (RAM) na Hifadhi (Storage): RAM ya 16GB na hifadhi ya ndani ya 512GB, ikichangiwa na prosesa ya Tesla iliyotengenezwa kwa ufanisi wa hali ya juu na matumizi ya AI.
Kamera: Kamera kuu ya nyuma yenye megapixel 108, ikiunganishwa na lenzi ya wide na telephoto, huku kamera ya mbele ikiwa na megapixel 48 na uwezo wa kurekodi video za 4K.
Muunganisho na Usalama: Inakuja na 5G Dual SIM, Wi-Fi 6E, Bluetooth 5.3, NFC, USB Type-C, pamoja na ulinzi wa fingerprint ndani ya kioo na face unlock.
Je, Inatosha Kuvuruga Soko?
Kwa mchanganyiko wa nguvu, hifadhi kubwa (storage), kamera za kisasa na betri ya kudumu, Tesla Pi Max inajipambanua kama simu inayoweza kuvutia wapenzi wa teknolojia na gamers.
Je, simu hii ya Tesla Pi Max inaweza kweli kuchukua nafasi ya iPhone na Samsung kwenye soko la simu za kiwango cha juu?
Magari ya box 😂😂Kawaida Sana hiyo simu hakuna maajabu kabisaa
1) AMOLED display ni technolojia ya Samsung
2) OS bado anatumia ya android
3) simu kama Samsung wanatumia xenon lenses au Huawei wanatumia Leica lenses hata au Nokia wanatumia Carl Zeiss preview technology....lakini hiyo simu ya Tesla hawajataja ni design ipi imetumika kwenye camera zao.
Huku simu watachemka Tu kama ilivyo kwenye magari
woow[emoji7] i feel like i need that immediately ikitoka tu, camera and ROM+RAM[emoji108]Kampuni ya Tesla, inayojulikana kwa ubunifu katika magari ya umeme na nishati safi, sasa imeingia rasmi kwenye soko la simu za kisasa kwa kuzindua Tesla Pi Max. Simu hii imeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu na inalenga kushindana moja kwa moja na iPhone na Samsung katika soko la simu za kiwango cha juu.
View attachment 3450182
Vipengele Vikuu vya Tesla Pi Max
Kioo na Muundo: Kioo cha inchi 6.78 QHD+ AMOLED, Refresh Rate ya 144Hz, HDR10+, pamoja na kinga ya Gorilla Glass. Muundo wa metali na glasi unaipa sura ya kifahari.
Betri na Kuchaji: Ina betri kubwa ya 6000mAh yenye teknolojia ya kuchaji haraka ya 100W, ikijaza simu kutoka 0% hadi 100% kwa chini ya dakika 30.
Utendaji (RAM) na Hifadhi (Storage): RAM ya 16GB na hifadhi ya ndani ya 512GB, ikichangiwa na prosesa ya Tesla iliyotengenezwa kwa ufanisi wa hali ya juu na matumizi ya AI.
Kamera: Kamera kuu ya nyuma yenye megapixel 108, ikiunganishwa na lenzi ya wide na telephoto, huku kamera ya mbele ikiwa na megapixel 48 na uwezo wa kurekodi video za 4K.
Muunganisho na Usalama: Inakuja na 5G Dual SIM, Wi-Fi 6E, Bluetooth 5.3, NFC, USB Type-C, pamoja na ulinzi wa fingerprint ndani ya kioo na face unlock.
Je, Inatosha Kuvuruga Soko?
Kwa mchanganyiko wa nguvu, hifadhi kubwa (storage), kamera za kisasa na betri ya kudumu, Tesla Pi Max inajipambanua kama simu inayoweza kuvutia wapenzi wa teknolojia na gamers.
Je, simu hii ya Tesla Pi Max inaweza kweli kuchukua nafasi ya iPhone na Samsung kwenye soko la simu za kiwango cha juu?
let us wait tuone itakua na maajabu gani uniqueKawaida Sana hiyo simu hakuna maajabu kabisaa
1) AMOLED display ni technolojia ya Samsung
2) OS bado anatumia ya android
3) simu kama Samsung wanatumia xenon lenses au Huawei wanatumia Leica lenses hata au Nokia wanatumia Carl Zeiss preview technology....lakini hiyo simu ya Tesla hawajataja ni design ipi imetumika kwenye camera zao.
Huku simu watachemka Tu kama ilivyo kwenye magari
Kawaida Sana hiyo simu hakuna maajabu kabisaa
1) AMOLED display ni technolojia ya Samsung
2) OS bado anatumia ya android
3) simu kama Samsung wanatumia xenon lenses au Huawei wanatumia Leica lenses hata au Nokia wanatumia Carl Zeiss preview technology....lakini hiyo simu ya Tesla hawajataja ni design ipi imetumika kwenye camera zao.
Huku simu watachemka Tu kama ilivyo kwenye magari
Hii simu lazima iuze sana. Mimi navutiwa na jina lake.woow[emoji7] i feel like i need that immediately ikitoka tu, camera and ROM+RAM[emoji108]
nilikuwa sahihi kumbe, ni kweli the way jina la product au kampuni linavyosound linamatter sanaHii simu lazima iuze sana. Mimi navutiwa na jina lake.
processor zao wenyewe 😅Lakini tusisahau kuwa Tesla hawajawahi kuingia sokoni bila vision kubwa. Ni kweli AMOLED ni teknolojia ya Samsung na OS ni Android, lakini kinachoweza kuwabeba Tesla siyo kutengeneza kila kitu kutoka sifuri, bali ni kuchukua vilivyopo na kuviboresha kwa upekee wao. Hata Apple ilipoanza, walitumia teknolojia za wengine ila wakaweka “ecosystem” yao ya kipekee.
Kuhusu kamera, kutotaja jina la lensi haimaanishi ubora hautakuwepo. Mara nyingi kampuni mpya hutumia muda kujenga usiri wa innovation hadi bidhaa ikue sokoni. Pia kumbuka Tesla wana nguvu kubwa ya integration ya AI kitu ambacho kinaweza kufanya kamera zao ziwe na uwezo mkubwa kuliko jina la lensi pekee.
Operating system Gani inatumia? Na vipi kuhusu bei?
processor zao wenyewe 😅
Tuwape mda
MediaTek wana safari ndefu bado.. Apple kwenye processor wamejitahidi sana. Snapdragon wapo njema.. Unaona Google wanavyopambana nao kwenye Processor kipindi wanaanza ? sema jamaa wanaweka mzigo wa maana lazima iwe YesKwa upande wa processor kuna uwezekano mkubwa Tesla wakatumia chip zao wenyewe badala ya Snapdragon au MediaTek. Tukumbuke kampuni kama Apple walifanikiwa kwa chips zao (A17, M1, M2 n.k.), kwa hiyo Tesla nao wana nafasi ya kufanya hivyo.
nilikuwa sahihi kumbe, ni kweli the way jina la product au kampuni linavyosound linamatter sana
MediaTek wana safari ndefu bado.. Apple kwenye processor wamejitahidi sana. Snapdragon wapo njema.. Unaona Google wanavyopambana nao kwenye Processor kipindi wanaanza ? sema jamaa wanaweka mzigo wa maana lazima iwe Yes