Uzinduzi wa Tesla 5G Smartphone Mpya – Pi Max Kuchukua Soko la iPhone na Samsung?

Uzinduzi wa Tesla 5G Smartphone Mpya – Pi Max Kuchukua Soko la iPhone na Samsung?

Ni Android iliyoboresha (customized Android OS) kwa maana kwamba inaendana na ekosistimu ya Tesla (gari, solar, Starlink, n.k.) badala ya Android ya kawaida. Bei ni kuanzia $800 hadi $1,500.
Haya majibu ulikuwa unatoa wapi kwenye kitu ambacho hakipo na ni uongo?
 
Iyo story leo ni mwaka 10 kila sku tesla anatoa simu kila mwaka tesla atatoa simu na hajawai kutoa

Na soko la simu sio soko jepesi km unavyofikilia ww SONY ni kampuni tumeijua tangu tukiw watoto adi
Leo sony bado ipo si waliwai kuingia kwenye soko la simu leo hii wako wap
LG aliwai ingia soko la simu leo hii yuko wap
Unaweza ona soko la simu ni jepesi sababu uko njee ila walioko ndani wanajua ugumu wake na ata Tesla wenyewe wanajua ugumu wake na ndo maana leo hii ni mwaka wa 10 tesla inasema itatoa simu na mwisho wa sku yanabaki kua maneno
 
Back
Top Bottom