Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
- Bata la juzi Fish Market mpaka asubuhi kudadeki kura maisha U know
le Mutuz
Yaani ni shida juu ya sheedaah..Halafu mama kafanana na lemutuz chek suraaa kweli hawa ni mtu na mzazi mwenzake sema lemutuz anakimbia majukumu kulea familia anatafuta mteremko kwa watoto wakali Yeye apige picha wenzake walisheee..... Akuna picha yupo kwenye misos na watoto kama IPO lazima pemben tuwepo wanaume...... Ila kwenye makiss na kushika viuno anapenda sana
Hapa nahisi anaulizia dawa ya FANGASI..[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hivi haya zamani ndo yalikua yanaitwa mapensi nyanya au?
dinner double tree leo ataishia kupewa chai,tena kwa ufadhili wa meneja nani yule sijuiAnakuja kukualika
Dinner leo Double Tree
Msaga Sumu-Le Big Super Fan.
miaka 35 akarudi na dola 500 kuwekezaHa ha ha lemutuz anavyopenda sifa sasa !!!! MTU aliyetembea huko duniani.!
[emoji23][emoji23]umenikumbusha chakwetu hilo neno "Matekenya "Matekenya