Uzinduzi yamoto band: Wema aacha historia na kuwa staa wa kwanza kumwaga mihela dar live

Uzinduzi yamoto band: Wema aacha historia na kuwa staa wa kwanza kumwaga mihela dar live

Aiseee huyu Petit ndio amemuoa Dada wa Diamond? Nilikuwa nasikia Diamond alikuwa hamkubali huyu jamaa!

Sasa numejua kwanini alukuwa Ana mkataa huyu jamaa! Yani utafukiri body guard wa Wema!
 
Huyu msichana limbukeni jamani hajifunzi tu badala ya kujiwekea vitega uchumi ana kazi ya kuwatunza watu hela.

Atakuja kuzikumbuka na hao anaowatunza pesa akija kufulia watakuja kumuangalia km mbilimbi bovu we muache tu.

pesa ya kuongwa ina matatizo kweli
 
Angalau naniliu yake inazalisha sasa maana dai alikuwa anakula bure..... na hivi wamemwagana mkongomani taratiiiiiiiiiiiiiiibu mfuko wake tuui

Mwache atapanye atakuja kuzikumbuka baadae

Ingawa sijui hapo chini anajutia nin8....

Hahaaa hako ka ujumbe ametuachia maswali aiseee..... mie namuonea huruma tena aiseee hapa niko na watu ni wa karibu na Wema wanasema kweli Diamond anaoa..

Nasikia ugomvi ulianza kipindi kile cha birthday ya Rommy Jones mjini kuna mambo BADILI TABIA... haya mastori mweeee
 
Last edited by a moderator:
Heri aoe labda huyu binti atatumia muda wake kufanya ya maana na kuacha kukata viuno majukwaani... mwanaume anakudhalilisha kwenye media bado tu unang'ang'ania

Yaani kuna unafuu pia atleast

Diamond mwenyewe keshasema kazi ya moyo kusafirisha damu kupenda kiherehere mwanaume ana maneno yule full uswahili.

Wema ajifunze jaman kipindi kile alivyomfanyia Mliman City, aibu tu
 
Heri aoe labda huyu binti atatumia muda wake kufanya ya maana na kuacha kukata viuno majukwaani... mwanaume anakudhalilisha kwenye media bado tu unang'ang'ania

Hhhhhaaaa ,,jaman hiyo harusi wanaicheleweshaa khaaa,,
 
Wema simhurumii

Kuna wanawake bila kudhalilishwa nafsi zao hazisikii raha....

Yaani kuna unafuu pia atleast

Diamond mwenyewe keshasema kazi ya moyo kusafirisha damu kupenda kiherehere mwanaume ana maneno yule full uswahili.

Wema ajifunze jaman kipindi kile alivyomfanyia Mliman City, aibu tu
 
Inawezekana hata hata huku kutuza (siyo kutunza) pesa anaweka kitegauchumi kwa kujiweka juu kwenye magazeti na mitandao.

Wanasema spend money to make money.

Kesho akiitwa kutaka kucheza filamu anadai dau kubwa, anawaambia "mikioni si pesa, si mmeona nimetuza mtu jana".

Strategy.

But I could be wrong. And this could be totally serendipitous.

Asante kwa kunirekebisha best.Iyo spend money make money sio bongo mshikaji wangu.Kwa dau gani la filamu za kushilikishwa litakalo mfanya amake money!?

Jibu ni hakuna wasanii wengi wa kike unaowaona wamemake money ni kwa ajili ya papuchi si vinginevyo.
 
Asante kwa kunirekebisha best.Iyo spend money make money sio bongo mshikaji wangu.Kwa dau gani la filamu za kushilikishwa litakalo mfanya amake money!?

Jibu ni hakuna wasanii wengi unaowaona wamemake money ni kwa ajili ya papuchi si vinginevyo.

Hahaha, umezibuka.

Nimesema hivyo kwa sababu kuna movie production moja Wema alikuwa anatakiwa akasema bila ya kuhakikishiwa milioni fulani hawezi hata kuzungumza.

Nikaona labda ana kidau fulani.
 
Back
Top Bottom