BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Huyu msichana limbukeni jamani hajifunzi tu badala ya kujiwekea vitega uchumi ana kazi ya kuwatunza watu hela.
Atakuja kuzikumbuka na hao anaowatunza pesa akija kufulia watakuja kumuangalia km mbilimbi bovu we muache tu.
Angalau naniliu yake inazalisha sasa maana dai alikuwa anakula bure..... na hivi wamemwagana mkongomani taratiiiiiiiiiiiiiiibu mfuko wake tuui
Mwache atapanye atakuja kuzikumbuka baadae
Ingawa sijui hapo chini anajutia nin8....
Hahaaa hako ka ujumbe ametuachia maswali aiseee..... mie namuonea huruma tena aiseee hapa niko na watu ni wa karibu na Wema wanasema kweli Diamond anaoa..
Nasikia ugomvi ulianza kipindi kile cha birthday ya Rommy Jones mjini kuna mambo BADILI TABIA... haya mastori mweeee
Heri aoe labda huyu binti atatumia muda wake kufanya ya maana na kuacha kukata viuno majukwaani... mwanaume anakudhalilisha kwenye media bado tu unang'ang'ania
Heri aoe labda huyu binti atatumia muda wake kufanya ya maana na kuacha kukata viuno majukwaani... mwanaume anakudhalilisha kwenye media bado tu unang'ang'ania
Yaani kuna unafuu pia atleast
Diamond mwenyewe keshasema kazi ya moyo kusafirisha damu kupenda kiherehere mwanaume ana maneno yule full uswahili.
Wema ajifunze jaman kipindi kile alivyomfanyia Mliman City, aibu tu
Hhhhhaaaa ,,jaman hiyo harusi wanaicheleweshaa khaaa,,
Hivi lucy komba akaunti yake ipi insta mwenye kujua
22 yrs.... aisee ntarudi
Umeonaee ingekuwa ya kutafuta kwa jasho lake wala asingezitapanya namba hiyo.pesa ya kuongwa ina matatizo kweli
Inawezekana hata hata huku kutuza (siyo kutunza) pesa anaweka kitegauchumi kwa kujiweka juu kwenye magazeti na mitandao.
Wanasema spend money to make money.
Kesho akiitwa kutaka kucheza filamu anadai dau kubwa, anawaambia "mikioni si pesa, si mmeona nimetuza mtu jana".
Strategy.
But I could be wrong. And this could be totally serendipitous.
Asante kwa kunirekebisha best.Iyo spend money make money sio bongo mshikaji wangu.Kwa dau gani la filamu za kushilikishwa litakalo mfanya amake money!?
Jibu ni hakuna wasanii wengi unaowaona wamemake money ni kwa ajili ya papuchi si vinginevyo.