Uzinzi haulipi

naomba usome vizuri post yangu. Kisha weka red pale nilipokosea

post umekuja ku edit wewe baada ya kukuzodoa. Umeondoa yale maneno yenye kero na umeongeza maneno mengi sana. Siku nyingine kuwa muungwana bana.
 
Uzi mzuri sana ila nahisi hautafika mbali
 
Umenena vyema mkuu
 
Kweli mkuu, nimesoma sijamuelewa kabisa. Tujitahidi kujenga Hoja zenye mashiko tofauti na kupayuka. Mpe mtu sbb ya kuacha kufanya jambo fulani badala ya kumkataza.

Mbona ameeleweka vizuri sana mkuu.
 
Ukiona hivyo ndiyo ujue jf tuko vilaza wengi...! Tofauti yake na fb ni ndogo sana.
 
Ajali haina kinga, sie sio wanzilishi wa UKIMWI jali yako na mkeo,
 
Unyanyapaa umewatawala wote, mtoa mada na wachangiaji walio wengi! Una ujumbe gani kwa walioupata? Au nikuwacheka na kuwadharau.
 
Unyanyapaa umewatawala wote, mtoa mada na wachangiaji walio wengi! Una ujumbe gani kwa walioupata? Au nikuwacheka na kuwadharau.

Unyanyapaa gani hapo? Mbona mtu akiongea habari za UKIMWI mnahusisha na unyanyapaa? Ujumbe wake ni mzuri, unatukimbusha kuwajibika kwa wale tuwapendao. Sio maradhi tu bali hata kuacha majukumu kama kulea watoto ambao tumewaleta duniani.
Tuwe responsible, kuna nchi zinapinga unyanyapaa lakini wao ndio wa kwanza kutenga watu wenye HIV. Kuongea kuhusu responsibility sio unyanyapaa hata kidogo..!
 
post umekuja ku edit wewe baada ya kukuzodoa. Umeondoa yale maneno yenye kero na umeongeza maneno mengi sana. Siku nyingine kuwa muungwana bana.
Yalikuwa makosa ya kuedit. Kuna kitu kilifutika bila mimi kufahamu. Sikuwa na nia hiyo. Nia halisi ni kama unavyojieleza hapa.
 
Unyanyapaa umewatawala wote, mtoa mada na wachangiaji walio wengi! Una ujumbe gani kwa walioupata? Au nikuwacheka na kuwadharau.
Waliopata waishi kwa matumaini. Wasiambukize wenzao. Waendelee kumcha Mungu. Waamini kuwa Mungu ni Mwema na ni mtenda miujiza. Mungu anaweza yote. Yeye aweza kuponya na kuokoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…