Uzinzi haulipi

Uzinzi haulipi

naomba usome vizuri post yangu. Kisha weka red pale nilipokosea


post umekuja ku edit wewe baada ya kukuzodoa. Umeondoa yale maneno yenye kero na umeongeza maneno mengi sana. Siku nyingine kuwa muungwana bana.
 
Wakuu leo naingia kwenye juKwaa hili kuwashauri wana MMU wenzangu. Tuache uzinzi. Uzinzi haulipi. Ebu jiulize kwa nini uishi kwa wasiwasi kila siku? Wasiwasi wa kuwa na Ukimwi. Wasiwasi wa kuacha familia yako shauri ya ukinwi. Wasiwasi wa kwenda kupima mke wako anapopapata ujauzito. Wasiwasi pale unapoangalia watoto wako ukiwa na mawazo kuwa wewe ni baba/ mama muathirika.

Kuwa mwaminifu. wanawake hupenda kulipa kisasi. wanawake hupenda kufata tabia za waume wao. Kuwa big dady Siyo dady ukimwi ukimwi tu.

Kwa mkristo wenzangu. uwe waaminifu katika maisha ya ukristo wako. nenda kasari. Anzisha kanisa la kiroho nyumbani. Sara za njioni. za asubuhi. Soma neno la Mungu. Funga na kuomba. Umeshamchagua mwenza wako. Komaa acha kifo kiwatenganishe. Tunza watoto wako. Tunza jamii yako. Biblia inasema wazinzi kwao ni kwenye ziwa la moto.

Na kama muislamu. Uwe na hofu ya Mungu. Kazana Kuswali. Funga. kuwa busy. Uislamu hauruhusu uzinzi sawasawa na kwa ukriksto ambapo uzinzi ni marufuku. Pia kama umetamani uoe. Chagua wazuri wazuri mpaka wafikie wanne.
Kataa kuishi maisha ya wasiwasi. Kataa kuisha maisha ya kuogopa. Kataa kuishi na ya kufikiria ukimwi. Komaa na mke/ mume wako. Si ulimchangua mwenyewe.

CHONDECHONDE NDUGU ZANGU. WANAUME KWA WANAWAKE. TUBAKI NJIA KUU. MCHEPUKO SIYO DILI.
KWA WOTE WANAOPENDA FAMILIA ZAO WATANIUNGA MKONO.

Umenena vyema mkuu
 
Kweli mkuu, nimesoma sijamuelewa kabisa. Tujitahidi kujenga Hoja zenye mashiko tofauti na kupayuka. Mpe mtu sbb ya kuacha kufanya jambo fulani badala ya kumkataza.

Mbona ameeleweka vizuri sana mkuu.
 
huzi huu ungekuwa unahusu kugegeda au mchepuko ungeona raia wamejaa kibao,ila mafunzo kama haya hawapendi kusikia mwisho wake wanaishia kujuta tu maishani,mkumbuke maisha ni sasa usikubali starehe ya muda mfupi iharibibu maisha yako.

Kuna watu wananiuzi sana umu wanakuja kujisifia kununua machangudoa,wengine wanafunza wenzao kuchuna mabuzi kwa kweli si poa,mnaaribu maisha yenu.

Tabia zibadilike mtoa mada yuko sahihi ila kwa vizuri ni huzi wa kuelemisha na kukanya uhovu utaona watu umu ingekuwa wanaruhusu watu kutoa ban ata mtoa mada ungepigwa ban na raia wa umu

Ukiona hivyo ndiyo ujue jf tuko vilaza wengi...! Tofauti yake na fb ni ndogo sana.
 
Ajali haina kinga, sie sio wanzilishi wa UKIMWI jali yako na mkeo,
 
Unyanyapaa umewatawala wote, mtoa mada na wachangiaji walio wengi! Una ujumbe gani kwa walioupata? Au nikuwacheka na kuwadharau.
 
Unyanyapaa umewatawala wote, mtoa mada na wachangiaji walio wengi! Una ujumbe gani kwa walioupata? Au nikuwacheka na kuwadharau.

Unyanyapaa gani hapo? Mbona mtu akiongea habari za UKIMWI mnahusisha na unyanyapaa? Ujumbe wake ni mzuri, unatukimbusha kuwajibika kwa wale tuwapendao. Sio maradhi tu bali hata kuacha majukumu kama kulea watoto ambao tumewaleta duniani.
Tuwe responsible, kuna nchi zinapinga unyanyapaa lakini wao ndio wa kwanza kutenga watu wenye HIV. Kuongea kuhusu responsibility sio unyanyapaa hata kidogo..!
 
post umekuja ku edit wewe baada ya kukuzodoa. Umeondoa yale maneno yenye kero na umeongeza maneno mengi sana. Siku nyingine kuwa muungwana bana.
Yalikuwa makosa ya kuedit. Kuna kitu kilifutika bila mimi kufahamu. Sikuwa na nia hiyo. Nia halisi ni kama unavyojieleza hapa.
 
Unyanyapaa umewatawala wote, mtoa mada na wachangiaji walio wengi! Una ujumbe gani kwa walioupata? Au nikuwacheka na kuwadharau.
Waliopata waishi kwa matumaini. Wasiambukize wenzao. Waendelee kumcha Mungu. Waamini kuwa Mungu ni Mwema na ni mtenda miujiza. Mungu anaweza yote. Yeye aweza kuponya na kuokoa.
 
Wakuu leo naingia kwenye jukwaa hili kuwashauri wana MMU wenzangu, tuache uzinzi.

Uzinzi haulipi, ebu jiulize kwa nini uishi kwa wasiwasi kila siku, wasiwasi wa kuwa na UKIMWI. Wasiwasi wa kuacha familia yako shauri ya UKIMWI, wasiwasi wa kwenda kupima mke wako anapopapata ujauzito. Wasiwasi pale unapoangalia watoto wako ukiwa na mawazo kuwa wewe ni baba/ mama mwathirika,kuwa mwaminifu. wanawake hupenda kulipa kisasi. wanawake hupenda kufata tabia za waume wao, kuwa big dady siyo dady UKIMWI tu.

Kwa Mkristo mwenzangu, uwe waaminifu katika maisha ya ukristo wako. nenda kusali. Anzisha kanisa la kiroho nyumbani. Sara za jioni za asubuhi. Soma neno la Mungu funga na kuomba. Umeshamchagua mwenza wako. Komaa acha kifo kiwatenganishe. Tunza watoto wako na jamii yako. Biblia inasema wazinzi kwao ni kwenye ziwa la moto.

Na kama Muislamu, Uwe na hofu ya Mungu kazana kuswali, funga kuwa busy. Uislamu hauruhusu uzinzi sawasawa na kwa Ukriksto ambapo uzinzi ni marufuku. Pia kama unatamani uoe.Chagua wazuri wazuri mpaka wafikie wanne.
Kataa kuishi maisha ya wasiwasi kataa kuisha maisha ya kuogopa kataa kuishi na ya kufikiria UKIMWI komaa na mke/ mume wako. Si ulimchangua mwenyewe.

Chondechonde ndugu zangu wanaume kwa wanawake tubaki njia kuu mchepuko sio dili.
Kwa wote wanaopenda familia zao wataniunga mkono.
 
Back
Top Bottom