Gospel KTV
JF-Expert Member
- Aug 23, 2025
- 343
- 493
Mkihubiriwa na watumishi wa Mungu mwache uzinzi mnakua wakali.
Mnataka injili za baraka, pokea gari pokea nyumba.
Tumeambiwa tusizini ili tuwe na amani katika maisha yetu. Maisha yetu yametawaliwa kwa kiasi kikubwa na ndoa na mahusiano.
Ndoa yoyote yenye roho ya uzinzi haiwezi kuwa na amani. Mahusiano yeyote yenye roho ya uzinzi hayawezi kuwa na amani.
Acha uzinzi linda amani ya ndoa au mahusiano yako.