Gospel KTV JF-Expert Member Joined Aug 23, 2025 Posts 343 Reaction score 493 Aug 8, 2026 #1 Mkihubiriwa na watumishi wa Mungu mwache uzinzi mnakua wakali. Mnataka injili za baraka, pokea gari pokea nyumba. Tumeambiwa tusizini ili tuwe na amani katika maisha yetu. Maisha yetu yametawaliwa kwa kiasi kikubwa na ndoa na mahusiano. Ndoa yoyote yenye roho ya uzinzi haiwezi kuwa na amani. Mahusiano yeyote yenye roho ya uzinzi hayawezi kuwa na amani. Acha uzinzi linda amani ya ndoa au mahusiano yako.
Mkihubiriwa na watumishi wa Mungu mwache uzinzi mnakua wakali. Mnataka injili za baraka, pokea gari pokea nyumba. Tumeambiwa tusizini ili tuwe na amani katika maisha yetu. Maisha yetu yametawaliwa kwa kiasi kikubwa na ndoa na mahusiano. Ndoa yoyote yenye roho ya uzinzi haiwezi kuwa na amani. Mahusiano yeyote yenye roho ya uzinzi hayawezi kuwa na amani. Acha uzinzi linda amani ya ndoa au mahusiano yako.
Gospel KTV JF-Expert Member Joined Aug 23, 2025 Posts 343 Reaction score 493 Aug 9, 2026 Thread starter #2 Uzinzi Huondoa Amani Kwenye Ndoa au Mahusiano
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 3,017 Reaction score 9,986 Aug 9, 2026 #3 Inaondoa Aman kivip tena? Hakuna mkamilifu Dunia hii
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,787 Reaction score 131,638 Aug 9, 2026 #4 nakwede97 said: Inaondoa Aman kivip tena? Hakuna mkamilifu Dunia hii Click to expand... Anataka ukose uhondo, eti?😅
nakwede97 said: Inaondoa Aman kivip tena? Hakuna mkamilifu Dunia hii Click to expand... Anataka ukose uhondo, eti?😅
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 9, 2026 #5 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Aug 9, 2026 #6 Smart911 said: Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: Mahondaw Click to expand... Sipendi uzinzi
Smart911 said: Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: Mahondaw Click to expand... Sipendi uzinzi
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 5,668 Reaction score 9,806 Aug 9, 2026 #7 Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,508 Reaction score 15,276 Aug 9, 2026 #8 Kama uzinzi ni hatari nyege zipelekwe wap
Gospel KTV JF-Expert Member Joined Aug 23, 2025 Posts 343 Reaction score 493 Aug 14, 2026 Thread starter #9 nakwede97 said: Inaondoa Aman kivip tena? Hakuna mkamilifu Dunia hii Click to expand... Nimeeleza kila kitu
nakwede97 said: Inaondoa Aman kivip tena? Hakuna mkamilifu Dunia hii Click to expand... Nimeeleza kila kitu