Kama baba na mama wapo na wanapenda maendeleo yako washirikishe hilo jambo hawatakuangusha wao wameona mengi na wameishi kwingi.Napenda kuoa lakini inabidi nikaze roho sana
Oa darasa la Saba asiyekopa vikoba/kausha damu, aseiyekunywa pombe, asiyependa kupaka rangi/kubandika kucha, asiyependa mawigi, asiyependa kusuka nywele, asiyekuwa mlokole, asiyeimba kwaya na asiyekuwa na mashosti.Napenda kuoa lakini inabidi nikaze roho sana
Sizani kama kuna mwanamke wa aina hiyo kwa dunia ya sasa, sema nitapewa wa kufanana na miyeOa darasa la Saba asiyekopa vikoba/kausha damu, aseiyekunywa pombe, asiyependa kupaka rangi/kubandika kucha, asiyependa mawigi, asiyependa kusuka nywele, asiyekuwa mlokole, asiyeimba kwaya na asiyekuwa na mashosti.