Uzinzi na biashara

Uzinzi na biashara

Mikosi, Laana, ushirikina ni story za kusadikika tu.
 
Mimi nikitumia pesa nyingi wakati mmoja ndio napata dili kubwa kwa mfululizo, zinaweza zikaja hata tatu kwampigo.

Hii kitu nimejipima zaidi ya mara tano imenitokea. Unakuta mara boda kanikwaruza nimeenda piga rangi ya 400k alafu wiki iyo iyo simu zinaita napata dili za kibunda kizuri.

Ikatokea tena nmekaa kiwanja fulani aisee ile siku nilirudi na 5k home, asubuhi najilaumu kishenzi ila wiki hiyo hiyo nikapata dili refu kiajabu ajabu tu.

Sasa nikasema nisitumie hela kifala aiseee nilimaliza karibu wiki tatu bila simu kuita popote. Nikatumia tena hela ndefu kiboya simu zikaita. Nikasema ipo namna hapa.
 
Back
Top Bottom