Uzinzi Ndio Adui Mkubwa wa Kibali chako ulichopewa na Mungu

Uzinzi sio dini. Matajiri wa kweli hawafanyi uzinzi. Maskini, watu wenye uchumi feki.
 
Huyo Mungu aliumbaje binadamu wenye uwezo wa kufanya uzinzi?

Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wasiofanya uzinzi?
 
Huyo Mungu aliumbaje binadamu wenye uwezo wa kufanya uzinzi?

Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wasiofanya uzinzi?
Ulitaka atuumbe kama maroboti kwamba aweke code ya kutuzuia tusifanye maamuzi yetu. Wanasayansi wenyewe ndio wanang'ang'ana kuyawekea utashi maroboti ili yafanane na mwanadamu.
 
Kama madhara aliyapata kwenye uzee wake shida iko wapi? Mafanikio ya uzeeni kwako yana faida gani, kama ujana wako wote umeishi kwa mateso?
 
Ulitaka atuumbe kama maroboti kwamba aweke code ya kutuzuia tusifanye maamuzi yetu. Wanasayansi wenyewe ndio wanang'ang'ana kuyawekea utashi maroboti ili yafanane na mwanadamu.
Sasa kama hatukuumbwa kama maroboti, watu wakifanya uzinzi kwa raha zao na uhuru wao huyo Mungu anahusika vipi kwenye vibali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…