Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

Simpi dem hela kijinga namna hii.
 
😁😁😁😁
Kuwa na wote hao mi ulafi asee! Sasa jamaa zako wakose?
 
lakini sasa kwa niini mbususus tamu mie ndio nashindwa kuelewa hapo tuu.
 
GHARAMA KUBWA KULIKO ZOTE NI KIFO aidha kwa Magonjwa ya ngono au kuuawa
 
Uko sahihi sana,
Usisahau kuna gharama za kuanzisha biashara, au kumjengea mzinzi mwenzangu.
 
Ndio maana maandiko ya Mungu yanasema tuikimbie zinaa,badala yake watu wanaikimbilia zinaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…