Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

Hamna gharama mkuu, sema tu hauna hela....🀣 ndio maana unapigia hesabu kulipia room wakati ma-tycoons wanalipia nyumba nzima masaki na mikocheni..😊
😁😎
 
mwanaume yeyote Rijali kuspend pesa kwa wanawake ni kitu cha kawaida sana wala haiumi unless bado unajitafuta.!!
ukweli mtupu....inakumaje wakati ndio burudani nambari one hapa duniani? mie sielewi kabisa. sasa usipotumia hela kwenye mbususu unatumia hela kwenye nini? magari?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hapo gharama kubwa ni maradhi, yaani ni aibu sana kukutwa na gono, syphilis nk lakini ni death warrant kukutwa na hiv.

Gharama ya kifo kama kifo ni kwa kila kiumbe hai, sote tunakufa tu mwisho wa siku.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi...

Cc: Mahondaw
Anything for vineeeeeennah😊 🀭

Kama mtoa mada hataki gharama wakatrombanie kwake wapike kwanza ili kuepuka gharama 😁😁😁😁😁😁!
 
Anything for vineeeeeennah😊 🀭

Kama mtoa mada hataki gharama wakatrombanie kwake wapike kwanza ili kuepuka gharama 😁😁😁😁😁😁!
Siyo kule kwenye chips kuku 45,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…