Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

mwanaume yeyote Rijali kuspend pesa kwa wanawake ni kitu cha kawaida sana wala haiumi unless bado unajitafuta.!!
ukweli mtupu....inakumaje wakati ndio burudani nambari one hapa duniani? mie sielewi kabisa. sasa usipotumia hela kwenye mbususu unatumia hela kwenye nini? magari?😀😀😀😀
 
Hapo gharama kubwa ni maradhi, yaani ni aibu sana kukutwa na gono, syphilis nk lakini ni death warrant kukutwa na hiv.

Gharama ya kifo kama kifo ni kwa kila kiumbe hai, sote tunakufa tu mwisho wa siku.
 
Back
Top Bottom