Kuanzia kwenye hoja na ku connect na wafanyabiashara Lema huwezi kumlinganisha kabisa na Gambo. Uwezo wa kujenga hoja za Arusha na kitaifa ni muhimu sana kwa Arusha.
Sababu kubwa Arusha wanaamini kwa makusudi serikali kwa miaka mingi haikuwa upande wao kuanzia kodi, tanzanite na miradi ya maendeleo. Hata barabara kubwa za Arusha ni za EAC. Majengo ya Arusha ni watu na kampuni binafsi.
Lakini kinachomsaidia Lema zaidi ni wafanyabiashara wadogo wadogo ambao wengi ni wachagga hili hapisemwi lakini ndiyo ukweli Arusha mjini ni mji wa wachagga. Inabidi Gambo atafutiwe sehemu mpya kule uwanja wa ndege kwenye by-pass Highway