Nawashangaa waajiri wa Tanzania.Kimsingi hawana busara. Wanataka kuajiri watu wenye uzoefu bila kuwapa watu nafasi za kupata huo uzoefu.Tabu kubwa ni kua huu uchumi wa `kimachinga` unaendeshwa na mabepari `uchwara`.They can`t even make the most of the cheap labor that is easily availabe ie: University and college graduates. They do not have knowledge and creative ability of their own but instead are good at `copy and paste`.
Mi nashangaa hata kupata internship ni tabu,vijana wanasota tuu.Hata mtu akitaka kuvolunteer hakuna nafasi.Hii nchi ina wajinga wengi sana. Watu wanajiita enterpreneurs lakini hawaoni hii fursa ya cheap labor-ni aibu.
Paradox>fresh graduates watapata vipi experience bila kupewa nafasi za kufanya kazi? Baadhi ya taasisi kama `Barrick` wana graduates program and at least they are conscious of the need to give this young blood an opportuinity to gain experience.Wengine bure tuu
Hii nchi inaongozwa na Wajinga-kila mahali.Na zaidi ni kwenye NGOs
Tusisahau 2015-tuchague `mgema` makini