Uzoefu: DP World iliyouziwa bandari ni wazuri kwenye kuhonga

Uzoefu: DP World iliyouziwa bandari ni wazuri kwenye kuhonga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20230607-135225_Samsung Internet.jpg


Hii inatoka maktaba. Wamewahi kushtakiwa kwa kuhonga.

Labda tujue kwa sisi hapa ni nani ni nani wamenunuliwa
 
Acheni uanaharakati.
Bandari haijauzwa na haitauzwa
 
Watanzania hata nao pia wakiuzwa poa tu... simba na yanga kwao ni agenda kuu kuliko chochote. Hovyo sana.
 
Sometimes watanzania wakati mwingine tuwe tunajua tunachokitaka na pia kukisimamia. Hivi hizi bandari zetu chini ya usimamizi wa wazawa nini kinafanyika kama si kula na kuvimbewa, sisi watoto wetu na vimada wetu? Tunapotaka hizi bandari zisimamiwe kwa uwazi ili ubadhirifu na upigaji wa kijinga -- unaosababisha nchi kupoteza mapato ambayo yangeenda kuendesha na kuboresha mambo ya nchi yenye maslahi kwa umma kwa ujumla -- wakati mwingine tupunguze kelele, tutulie na kuona kitakachoenda kufanyika kwanza. Iwapo kila uwekezaji utaitwa ufisadi, iwapo kila kitu kipya kinachofanyika kitatiliwa shaka na kupingwa toka siku ya kwanza, swali la kujiuliza ni je mambo yetu tuliyoyazoea yana tija gani kwa sasa?
 
Hiyo sio rushwa, hiyo ni business lobbying!.
Angalia hapa,
Tanzania kung'ara vile bure bure tuu, unafikiri ni bure bure tuu!. Business lobbying!.
P

Hii lobbying and poaching ndio rushwa yenyewe maana mwenye nia lazima aonyeshe jitihada hasa za nia yake
 
Hiyo sio rushwa, hiyo ni business lobbying!.
Angalia hapa,
Tanzania kung'ara vile bure bure tuu, unafikiri ni bure bure tuu!. Business lobbying!.
P

Hongera sana Mkuu, mambo mengi watu wanayaongea hawayajui
 
Back
Top Bottom