Uzoefu huonyesha watu wa miaka 40+ huishi kujutia mambo ambayo hawakuyafanya kwenye miaka ya 20+

Uzoefu huonyesha watu wa miaka 40+ huishi kujutia mambo ambayo hawakuyafanya kwenye miaka ya 20+

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
471
Reaction score
1,217
KUPOTEZA SIKU MOJA INAWEZA KUGHARIMU MIAKA 10 KUIREKEBISHA 😔 KATAA KUGHAIRISHA HOVYO ✍️

KILA KUKICHA NA MUNGU AKIKUPA AFYA USIKUBALI KUIPOTEZA HIYO SIKU TENA UWE MKALI KWA YOYOTE MWENYE KIASHIRIA CHA KUIVURUGA SIKU YAKO

#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Malenga wa Kiha
#Fikia Ndoto Zako
 
Ni wachache wanaangalia nyuma na kusema "a life well lived"! Wengi tunaishia kujuta na kutamani mshale wa saa ungerudi nyuma.
 
Unajutia nn sasa? siwezi kujutia ujinga.. Mtu anajutia asingejenga wakati muda huo alikuwa hana pesa ni vitu havina uhusiano kabisa.
 
Back
Top Bottom