Uzoefu juu ya Corolla Altis

Thelionden

Senior Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
165
Reaction score
160
Habari za kazi wadau naomba kujua chochote juu ya hii gari hasa model ya kuanzia 2004 yenye 3ZZ , hasa kuhusu Uimara wake na mapungufu yake na kwa nn kwa Tanzania hazipo kwa wingi na hali bei yake iko chini? Kulinganisha na IST, Allex, Runx, premio, pro box na zingine ambazo ni gari ndogo kama hii?

Mawazo yako ni muhimu sana mdau kabla sijajilipua huko befoward.

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli mkuu.
 
Aisee mbona hii gari umenishawishi Sana hasa kwenye dashboard yake naona Ngoma inasoma speed 220....
kama vipi jilipue Tu aisee Ila jaribu kuulizia kuhusu spare parts zake nahisi itakuwa inaingiliana na premio
 
Nami nimeshawishika! Ngoja tuendelee kusubiri wanaoijua vizuri...
 
Stock contry : Singapole, jiandae kulia kiliko kikuu baada ya kukanyaga ardhi ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…