Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 160
Habari za kazi wadau naomba kujua chochote juu ya hii gari hasa model ya kuanzia 2004 yenye 3ZZ , hasa kuhusu Uimara wake na mapungufu yake na kwa nn kwa Tanzania hazipo kwa wingi na hali bei yake iko chini? Kulinganisha na IST, Allex, Runx, premio, pro box na zingine ambazo ni gari ndogo kama hii?
Mawazo yako ni muhimu sana mdau kabla sijajilipua huko befoward.
Mawazo yako ni muhimu sana mdau kabla sijajilipua huko befoward.