Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani


Hii hapa:

"Income subject to tax is determined under tax accounting rules, not financial accounting principles, and includes almost all income from whatever source."

Unaionaje hii katika mukthadha wa wale vigogo wa kutoka milima ya kwetu?
 
Kwa article hiyo, inaonekana Wamarekani wana unafuu sana wa kodi/makato kuliko Tanzania.

Kodi za Marekani ni kwenye mapato. Wewe unapotuma hela, umepata mapato gani? Uliyemtumia hela, pengine ulikuwa unalipia bidhaa, ile bidhaa tayari ina kodi. Unatoza kwenye transaction, huyu mwenye bidhaa amepata mapato gani kwenye transaction process?
 
USA hakuna VAT.

The value-added tax (VAT) is the world's most common form of consumption tax, in place in more than 160 countries, including every economically advanced nation except the United States. “Value added” is the difference between business sales and purchase of goods and services from other businesses.
 
Usisahau pia kuna nchi ambazo hazina tax kabisa. Zero tax countries.
 
Kinachofanyika ni unyanganyi / ujambazi wa wazi ulioidhinishwa na bunge na wala siyo kutoza kodi.
 
hata marekani kuna wananchi wa vijijini na wanalipa kodi
Lakini awafi kwa kukosa panadol,wala awakai chini watoto wao wala kunywa maji na mifugo.Kodi yao inatumika kwa usahihi
 
Tanzania na marekani wapi na wapi
Kitongoji na jiji wapi na wapi?
Mfereji na bahari wapi na wapi?
Ndio maana Dodoma mnaita jiji
Halafu Dar es salam mnaita mkoa
MTU wa mipango miji anapangiwa na mchanganya madawa
 
HAPO kwenye rasilimali ni uongo. Bara lote la Afrika ukiondoa DRC rasilimali zote ukizijumlisha hawaifikii USA. Jimbo moja tu la Alaska lina rasilimali nyingi kuliko Tanzania yote.
Upo sahihi japo sijawahi kufika lakini ni ukweli tupu
 
Mkuu una hoja ya msingi sana ila according to nyumbu...

Huwa tunajifananisha na USA kwenye demokrasia tu

Hayo mambo ya uchumi... hapana...
 
Aiseee.......tuacheni kwanza......mafuta yanapita bandarini kwetu na barabara zetu,ila tunayafuata nchi jirani
 
Na hao Viongozi wa Marekani nao ni Wabinafsi, wanafiki, wachumia tumbo, mafisadi, wala rushwa na wanao tanguliza maslahi ya chama kuliko yale ya Taifa kama hao ndugu zako wa ccm?
 
Na hao Viongozi wa Marekani nao ni Wabinafsi, wanafiki, wachumia tumbo, mafisadi, wala rushwa na wanao tanguliza maslahi ya chama kuliko yale ya Taifa kama hao ndugu zako wa ccm?
kwani Mboe anasemaje?
 
Ok, Kwavile ni jinga lao basi haina shida.
 
Mleta mada refine hoja vizuri marekani wakulima hupewa subsidy na serikali na mtu akiwa kazi hana hulipwa hela kila mwezi ya kujikimu awe mjini au kijijini na serikali kwake kulipa sahihi huwezi linganisha na mtanzania masikini na jobless wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…