Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani

tena wako strict. IRS wamefanya kazi kubwa ya kuwashawish walipe kodi. imefika mahali wanaona ni jukumu ni haki yao.
Serikali inawalipa jobless monthly allowance kwa wasofurahi kulipa kodi?
 
Kumbe akili zako ni sawa na jina lako hivi kweli unaweza linganisha kipato Cha mtu wa Marekani na Cha Mtanzania.Hilo tu lonakushinda,pumbavu zako jinga kubwa wewe
jinga sana hili 😂 😂
 
hata marekani kuna wananchi wa vijijini na wanalipa kodi
acha ungese wa lumumba mbwiga weweee.. marekani inalipa posho maskini wa mitaani wewe je na vilaza wenzio mnalipa wapi? mishahara tu ya wafanyakazi yule mwehu awenu alienyakuliwa na zilaili alishindwa na mpaka leo vidampa wake nyie mmeshindwa kuongeza afu unajifananisha na eti tuko sawa na amercan people shwain ndezi farkun gunbush wewee😎👹👉😂
 
Serikali inawalipa jobless monthly allowance kwa wasofurahi kulipa kodi?
Marekani ukiwa na mtoto jobless analipwa monthly allowance kwa nini mzazi na ndugu zake msifurahi kulipa kodi? Mfano aliotoa hauko alplicable kwa Tanzania kodi kuwa juu kwenye miamala ni kuumiza maskin
 
Mataga pori utupe uzoefu wa katiba ya marekani especially kwenye mamlaka ya rais.
 
Wananchi wa marekani wanawezeshwa sana na serikali yao katika kupata fursa za income,hapa kwetu ni tofauti serikali inapambana na wananchi kuua vyanzo vya mapato.
Pia,kodi za USA zinatumika ipasavyo ivyo kulipa kodi kwao wanaona ni fahari sana, uku kwetu kodi zinatumika ovyo ikiwemo kununua wapinzani wa kisiasa ivyo kulipa ni mauzia ya kunufaisha wachache.
 
Mleta mada refine hoja vizuri marekani wakulima hupewa subsidy na serikali na mtu akiwa kazi hana hulipwa hela kila mwezi ya kujikimu awe mjini au kijijini na serikali kwake kulipa sahihi huwezi linganisha na mtanzania masikini na jobless wa Tanzania
Hata huku pembejeo za kilimo zinakuwa subsidised
 
Ni kweli mkuu kuna point hapo tena ya msingi,.
 
Nchi hii bila vichwa vya chadema kuingilua Kati hatutoki

Samia waombe CDM wakusaidie
vinginevyo hutoboi
 
Sisi tuna rasilimali za kutosha kuweza kizalisha tofauti na Marekani.

Usifananishe Tz na USA na pia America wanapora mataifa madogomadogo
Tunakosa Rasilimali ya akili , hivi mwiguly anawezaje kuwa think tank ya nchi
 
Hata ulichokikopi tukikuambia utuelezee hujui

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Unafahamu kipato cha raia wa US kwa saa/ wiki/ mwezi??

Unajua kazi ngapi US zinafanyika kwa contract ya masaa tu na malipo ni kwa saa?

Kodi inayozalishwa kwa shughuli zisizohitaji kutumia minguvu unajua zinachangia kiasi gani?
 
Sisi tuna rasilimali za kutosha kuweza kizalisha tofauti na Marekani.

Usifananishe Tz na USA na pia America wanapora mataifa madogomadogo
Marekani hana Rasilimali? Ndo hiwa mnadanganywa na makada wenu kwenye vijiwe vya kahawa? Huwa mnadanganywa kwamba Tanzania ndo nchi pekee yenye rasilimali hapa Duniani,

We pimbi Marekani natural resources alio nayo Tanzania hatuwezi ifikia kamwe
 
HAPO kwenye rasilimali ni uongo. Bara lote la Afrika ukiondoa DRC rasilimali zote ukizijumlisha hawaifikii USA. Jimbo moja tu la Alaska lina rasilimali nyingi kuliko Tanzania yote.
Hawa wajinga hawajui hilo, wanadanganywa kwamba Tanzanoa ndo nchi pekee yenye rasilimali hapa Duniani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…