Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani

Kwanza bado kodi ni nyingi sana. Wenye nyumba za kupangisha,mafundi wote,wamiliki wiwanja,mashamba na majengo,bodaboda, matangazo mitandaoni nk yaani serikali inahangaika wakati bado kuna vyanzo kibao?
Washushe VAT na PAYE lakini waanzishe kodi mpya kama hizo.

Naungana na Mpango ambae anaona hataki kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ahamie kwenye vya bure
 
Poor comparison...

Watu wako Raisi wa 46 sasa Hivi, unajilinganisha nao wewe ambaye ndo kwanza Uko na raisi wa 6.....

Hahahahaaa... Hao wako anga zingine babuuuu.... Usijilinganishe nao...
 
Yaani kwa mtazamo wako unaweza kabisa Kuthubutu kulinganisha kodi/ Uchumi wa watu wa marekani na walalahoi wa tanzania ambao bado tuna hangaika na maji safi, madawati darasani nk
Nakuona huna uelewa kabisa wa mambo ya uchumi hivyo ungepost vitu vingine...hizi mada za kiuchumi waachie wenyewe...
 
Je hutoza kodi ili viongozi watembelee ma V8????
Takribani 90% ya bajeti ya wizara zote ni MATUMIZI YA KAWAIDA (KULA)
 
unadhani uchumi wa marekani ulianzaje kwa mfano!
 
Mambo ya kuumiza wananchi experience mnachukua Marekani.Ila chanjo ya covid 19 na madai ya katiba mpya mnachukulia jehanam!Wapuuzi!
 
Jingalao marekani wabunge huwa hawalipi kodi kama hawa wabunge wetu waliotengeneza sheria ya kuuibia umma?
 
Hao Marekani wana mpango wa 'stimulus package' kutokana na janga la Covid...sisi huku dunia ya tatu wala hatuna takwimu zozote za athari ya Covid.

Huku Viongozi hawana habari wanaendesha nchi kama vile hakuna athari zozote kutokana na Covid.

Ina maana Marekani wameathirika lakini sisi bado tupo sawa na tunahitaji kuongezewa tozo?.
 
... Katiba ya Marekani inasemaje? Tume yao ya uchaguzi ina muundo na uhuru kiasi gani? Mifumo yao ya kiutawala ikoje? Bunge lao lina uhuru kiasi gani? Mahakama yao vipi? Poli-Democrats au Poli-Republican? Igeni basi na hivyo!
Tumeanza na Kodi
 
hata marekani kuna wananchi wa vijijini na wanalipa kodi
Kijijini ya marekani sio sawa na majiji ya Tanzania huko watu wapo accountable kodi na maendeleo sasa huku maendeleo hakuna na hauyaoni bado unataka uwakamue watu
 
Mleta mada refine hoja vizuri marekani wakulima hupewa subsidy na serikali na mtu akiwa kazi hana hulipwa hela kila mwezi ya kujikimu awe mjini au kijijini na serikali kwake kulipa sahihi huwezi linganisha na mtanzania masikini na jobless wa Tanzania
Lipeni kodi jameni, wamarekan hawashind mitandaoni 4 nothing otherwise wawe wananufaika kiuchumi au kulipwa kama Eryth...........πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mleta mada refine hoja vizuri marekani wakulima hupewa subsidy na serikali na mtu akiwa kazi hana hulipwa hela kila mwezi ya kujikimu awe mjini au kijijini na serikali kwake kulipa sahihi huwezi linganisha na mtanzania masikini na jobless wa Tanzania
Unaonaje tuzamie USA bro tukaish na DrakeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kijijini ya marekani sio sawa na majiji ya Tanzania huko watu wapo accountable kodi na maendeleo sasa huku maendeleo hakuna na hauyaoni bado unataka uwakamue watu
Maendeleo yanakuja vipi bila kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…