Uzoefu na ugeni katika mapenzi ulivyosababisha kula kitumbua kwa shida au kutokula kabisa

Uzoefu na ugeni katika mapenzi ulivyosababisha kula kitumbua kwa shida au kutokula kabisa

NYUNDO YA MOTO

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
5,360
Reaction score
17,002
Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda Chumbani nikachukua kitabu nisome ili nijiliwaze na kupoteza mawazo ya ahadi ya tunda tuliyo wekeana mimi na mpenzi wangu, lakini sikufanikiwa kufanya hivyo, kwa sababu ya juu ya kitu ambacho sijawahi kukifanya.

Ilifika mida ya mchana nikala nikashiba nikasubiri baada ya nusu saa nikaenda kuosha mwili kwa maji safi, Nikamaliza nikavaa nikajipulizia marashi, Nikatuma text ya mrembo ikisema hivi (mambo Jane, Naweza kuja sasa ivi? Nikakaa baada dakika moja akanijibu Njoo) moyo ukafurahi sana ilikuwa mida ya saa 8 na uzuri huyo mtoto alikuwa ni jirani yangu kwahiyo sio mbali.

Kumbuka Hapo nilikuwa sijawahi kukutana na mwanamke yeyote hata yeye hajawahi. Hatuna experience yoyote, kinachotusukuma ni hisia tu.

Basi nikafika akanikaribisha, Tukakumbatiana tukaenda sebuleni kitu cha kwanza kilichoharibu mrembo akaweka Gospel songs kama kiburudisho cha kuangalia, Nikasema isiwe kesi nikalazimisha story vivyohivyo.

Ikafika muda ikawa network haisomi, ninachokiangalia sikielewi, Abdalah kachachamaa, Nikumuliza vipi akanijibu safi, Nikapandwa na hasira sana. Nikaaga kuondoka mida hiyo ni saa 10. Lakini ukiangalia mrembo alivyo vaa ni green light kabisa inaonyesha Alijiandaa. Unajua kilichofwata baada ya kuaga...............

Episode 2 The End👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

Baada ya kuaga, Aliinuka akazima TV hapo mimi natetemeka Nasikia hali ya joto, Sijui cha kufanya, Akawa katangulia mbele, Natamani ni mvute nashindwa, Nikafikiria haraka, Akili ikanambia mwambie chochote, Nikamuita Akaitika abee Nikamwambia naomba nisaidie maji ya kunywa tafadhali Akanambia basi kaa Unywe utakunywaje maji ukiwa umesimama! Nikamjibu sawa, basi nikaketi kwenye kochi, Akaleta maji yakiwa kwenye jagi na Glass, Akanimiminia, wakati huo nafikiria nini cha Kufanya, Akawa ananipa Glass wazo likanijia Wakati naipokeea nikaiachia idondokee pembezoni mwa paja langu ili suruali iloe na maji.

Nikafanya kushtuka nakuomba msamaha but yeye Akanambia no no no is my fault sorry, Nikamwambia is Okay Naweza kuipas ikakauka, Nikamuliza! Naweza kuivulia chumbani Nipige pasi? Akajibu ndio, Nikainuka Akanipeleka room kwake, Chumba kinanukia marashi na kimepangwa kiustadi wa hali ya juu, Akataka kutoka ili aniache nipasi, nikamwambia hapana usijali kaa hapo unisadie, Nikatoa suruali nikabaki na boxer nayo ikiwa imeloa kwa mbali kutokana na maji yaliyomwagikia suruali.

Basi Nikaanza kuipiga pasi, Nikamtania na kumwambia hii boxer itabidi uipige wewe pasi, Akacheka na kunijibu usijali. Baada ya kumaliza kuipiga pasi nikaitundika ipoee, Nikakaa kitandani na kumsogelea hapo hali ya hewa imebadirika, wote tukiwa tumenyamaza bila tarifa akanikombatia, Nikamshika kichwa na kumsogeza sawasawa na uso wangu na kuanza kunyonya ndimi zake, huku mkono mwingine ukiwa kiunoni.

Nikashusha mkono wa pili ili kuvikabili vizuizi vilivyopo mbele ya Ukanda wa kiuno, Nikafanikiwa kutoa kanga aliyokuwa kajifunga na kubaki na kizibo cha asali huku kitumbua kikionekana kuvimba kama mkate wenye amila, bila kusita nikarudisha mikono juu uku nikiwa napanda na ka blauzi alikokavaa lengo kukatolea mikono yake akiwa kanyoosha juu.

Wakati namaliza hiyo, nikarudisha mikono mgongoni kwake kufungua lock za bolibo huku zikiwa zimesimama na kunichoma kama sindano butu huku nikiendelea na kunyonya lips zake kwa taratibu. Nilitumia dakika zisizopukua 15 kumuandaa kwajili ya show.

Kilichofwata ni kuendesha Gari lililokuwa 0 kilometer, Haikuwa fun sana kwa kuwa alikuwa hajawahi, kwahyo vilio na pole ndio vilivyotapakaa lakini ilikuwa kazi sana kufikia kuanza au kujieleza kupata utamu.
 
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png


Vipi… safi
 
Mlikutana wote maboya tu!,Mimi pisi ya kwanza kuitafuna nilipotaka tu ilijua nataka hata sikuhangaika sema muhangaiko ulikuwa kwenye kuweka maana ilikuwa giza halafu kutokana na kihoro kiberenge wa watu nilikuwa spidi sana mpk nikasikia "Wewe sio hukoo!"😂
Yeye hakuwa na hiana akaona kaka wa watu asikwame akaishika akaelekeza kombora lilenge wapi halooo! Mi msukuma nilisukuma haswa yani ilikuwa hadi nasikia nyamanyama zikinipisha..!
Laiti Kama angeniona nilivyokuwa nikilimwaga walahi angejuta maana sijawahi kutumbua jicho kiasi kile giza ulinificha nisipate aibu ningechekwa mimi na ugeni ule..😂

Wanajukwaa tukutane kwenye sala ya jioni msisahau zaka.
 
Mlikutana wote maboya tu!,Mimi pisi ya kwanza kuitafuna nilipotaka tu ilijua nataka hata sikuhangaika sema muhangaiko ulikuwa kwenye kuweka maana ilikuwa giza halafu kutokana na kihoro kiberenge wa watu nilikuwa spidi sana mpk nikasikia "Wewe sio hukoo!"😂
Yeye hakuwa na hiana akaona kaka wa watu asikwame akaishika akaelekeza kombora lilenge wapi halooo! Mi msukuma nilisukuma haswa yani ilikuwa hadi nasikia nyamanyama zikinipisha..!
Laiti Kama angeniona nilivyokuwa nikilimwaga walahi angejuta maana sijawahi kutumbua jicho kiasi kile giza ulinificha nisipate aibu ningechekwa mimi na ugeni ule..😂

Wanajukwaa tukutane kwenye sala ya jioni msisahau zaka.
Hahaha Mwanzo ni mgumu asikwambie mtu😅
 
Back
Top Bottom