grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
We jamaa bonge la fala yani,kama mimi ndo ningekuwa shemeji yako kiukweli ungefua hadi boxer zangu zenye bao.toka mtoto wa kiume nenda kakae hata ghetto huko kwa majamaa zakoNyumba si kubwa hii nina room yangu nimekaa miaka mitatu tayari
Hizo hata kusalimia hupaswi kuenda labda Kama Kuna tukio la kijamiiAfadhali kuishi kwa kaka yako au wajomba maisha yakikupiga kuliko kwenda kuishi kwa shemeji mume was Dada yako duuuu! Hapana pale unatakiwa uende siku mbili tatu tu kusalimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaaag mie hat siwez kwa kweli lolAfadhali kuishi kwa kaka yako au wajomba maisha yakikupiga kuliko kwenda kuishi kwa shemeji mume was Dada yako duuuu! Hapana pale unatakiwa uende siku mbili tatu tu kusalimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol wee maadam khaaaaah hatareeeh hii sasaShemeji akirudi na dada amekwenda kusukwa nywele mtengee chakula na akimaliza kula osha vyombo.
Hata kama una mvi kumbuka kuosha Gari ya shemeji.
Sina interest ya kuish kwa shemej achan na kwenda kusalimia, siwez, kabisaaaaa mie,
Uko vizuri,Sina interest ya kuish kwa shemej achan na kwenda kusalimia, siwez, kabisaaaaa mie,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio mnakuwa kwenye control tower? Umejaribu nchi zenye ndege nyingi/ viwanja vya maana, mfano Ethiopia, Kenya n.k.?Flight dispatch boss.. Aviation
Teh teh teh 🤣🤣🤣🤣Noma sana mkuu JF hapa kila mtu ana nyumba au kapanga tunaoishi kwetu tunaonekana maboya kinyama.
Dah maisha haya[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Umetisha sana aisee.. Hizi huwa nafanya pia ndio maana nimedumu sana hapa.. Huwa naamka mapema sana kabla ya mtu yeyote, napukuta gari yake , naandaa madogo wenyewe akiamka wanakuta mambo mengi yasha kamilika..
Hii ni kama unakaa sehemu yoyote ambayo sio kwenu, sio kwa shemeji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo karantini babe, njoo nione niletee chipsi kuku, pepsi bigi na vochababe nini tena kwenye masreadi ya watu?njoo geto jioni
Nipo karantini babe, njoo nione niletee chipsi kuku, pepsi bigi na vocha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo babe walioko karantini hawali?babe kwa hayo mahitaji utakuwa upo kantini sio karantini