Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

Hahahahhaa Boss .. Nisha Graduate kitambo sana ni vile life imenifikisha hapa nilipo sina choice
Kama ni kweli bado unakaa kwa shemeji yako, amini kuwa ipo siku Mungu atakufungulia milango ya baraka brother.
 
Back
Top Bottom