#COVID19 Uzoefu nilioupata katika mapambano ya kupigania uhai dhidi ya maamubikizi ya maradhi ya virusi vya corona Covid-19/ SARS COV2 variant

Umeona wanaume wanatoa solution si wapuuzi nyie kuelezea matatizo tu. Usiharibu uzi wa muungwana.

Swali langu kwa Mwanzisha uzi: je hakuna aliekueleza utumie colchicine?
Tungekuwa tunawasikiliza nyie mashetani hata hii taarifa na huu ushauri tungeuzingatia?Wauaji wakubwa nyie.
 
Dogo mfungulie shemeji yako geti anapiga honi.

Kamoooonn inuka hapo kwenye sofa uliponing'iniza poumbou.
Jaribu kuwa serious kwenye mambo serious.

Ni sentence ndogo inayotumia asilimia chache ya brain cells kuilewa.

Au mpaka nikwambie grow up.
 
Kwani Covid inapimwa mavi??[emoji44][emoji44]
Si umeandika hapo juu ulichukuliwa sampo za mavi (stool test kwenda kupimwa)?

Mkuu usione aibu bana ni mambo ya kawaida tu. Tujuze sasa ASAP majibu yalitokaje?
 
Tusidharau kuhusu huu ugonjwa hakika tutapukutika ndg zangu
 
Jaribu kuwa serious kwenye mambo serious.

Ni sentence ndogo inayotumia asilimia chache ya brain cells kuilewa.

Au mpaka nikwambie grow up.
Dogo ni zamu sasa ya beki tatu kushika na kuchezea remote.

Kamoooonn mpe iyo remote.
 
Brother gwaji boy mbunge wa kawe kashatuambia tupuuze habari yoyote kuhusu corona kwani bongo corona hakuna ila ni matatizo ya upumuaji yanayosbabishwa na hofu tu
 
Si umeandika hapo juu ulichukuliwa sampo za mavi (stool test kwenda kupimwa)?

Mkuu usione aibu bana ni mambo ya kawaida tu. Tujuze sasa ASAP majibu yalitokaje?
Ndg yangu kila kitu nimeeleza huko juu sijui unataka nini zaidi
 
Pole sana kaka..
Wishing you speedy recovery
 
Dogo ni zamu sasa ya beki tatu kushika na kuchezea remote.

Kamoooonn mpe iyo remote.
Nashauri uwahi hospital iliyo karibu nawe na umwambie daktari akupime ukubwa wa ubongo wako kama umejaa kwenye fuvu lako.

Bila shaka ubongo wako umesinyaa.
Hivyo ukipata majibu niletee then nikupe mbinu za kujaza ubongo uliosinyaa alafu baada ya hapo nadhani utaelewa maana ya hii sentence.

Jaribu kuwa serious kwenye mambo serious.
 
Umeingia mkenge mwenyewe. TAYARI NIMESHAKUWINI KISAIKOLOJIA. Na ndio hicho nilikuwa naangaika na kutafuta.

Nilipo hapa am punching the air aggressively and violently with jubilation!
 
Pole sana ,matibabu ya Covid-19 ni ghali sana lakini kupona Viral pneumonia ni kwa kudra za Mungu na bahati.
 
Gharama yake had kufika hapo shingap?
 


Pole sana mkuu kwa msukosuko uliopitia,

Nimejifunza kitu.

Shukrani kwa ushuhuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…