#COVID19 Uzoefu nilioupata katika mapambano ya kupigania uhai dhidi ya maamubikizi ya maradhi ya virusi vya corona Covid-19/ SARS COV2 variant

#COVID19 Uzoefu nilioupata katika mapambano ya kupigania uhai dhidi ya maamubikizi ya maradhi ya virusi vya corona Covid-19/ SARS COV2 variant

Kwa Mizunguko yote hiyo na ukilinganisha na vipato (uchumi) wa mtanzania, ni wachache sana wanaweza kuchomoka! Mungu atupganie tu, vingnevyo yale yale ya mizoga (miili ya wafu) kutapakaa kila mahali lazima yatokee!
Hawa walikuwa mawakala wa hofu. Jiwe akakataa kwenda na beat yao. Watu wa afya walikuwa wanaenda kuwa matajiri wa kutisha kwa hofu ilivyokuwa imeanza kupandikizwa. Yaani umeona huo mlolongo wa matibabu si ni wa kufirisi akiba ya mtu kabisa.
 
Back
Top Bottom