#COVID19 Uzoefu nilioupata katika mapambano ya kupigania uhai dhidi ya maamubikizi ya maradhi ya virusi vya corona Covid-19/ SARS COV2 variant

Namshukuru Mungu sikufikia kubanwa pumzi,niliishia ya kutoskia harufu na kuchoka sana,homa kidogo ,kikohoz kikavu
 
Pole sana mkuu,

Pia nipende kutoa rai kwa watanzania wote tuendelee kuchukua tahadhari,

Ugonjwa upo na unaua.
 
Ushuhuda wako umeongeza hofu zaidi kuliko faraja.

Naamini wengi wamejitafakari kama wangetoboa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa unadhani ni mchanganyiko upi ulikusaidia ili iwe ni reference kwa atakayepata au kuwa na mgonjwa
Nenda hosp mkuu. Jamaa ametaja mtiririko vzr kbs na ameweka angalizo la kujinywea dawa bila ushauri wa daktari.
 
Pole sana mkuu, umenipa changamoto, lile zoezi ulilofanya limeniacha hoi, hongera kwa ubunifu. Ni some zuri.
 
Kwa mda wote mke wako akikuhudumia hakuathirika? Nampa hongera kwa ujasiri wake akizingatia "wakati wa raha na shida mpo pamoja "
 
uyo mke vipi hukumuambukiza ?
kwa hii makala, inaonesha wazi uwezo wako kiuchumi uko vizuri
kapuku si anadanja ile siku ya kwanza kabisa?
 
Huwo mlolongo wote ningekuwa mimi ningekuwa nishajifia zangu maana nahisi haipungui 5M+ mimi ningemwambia bimkubwa ninyonge nikafaidi wanawake 75 peponi.
Duu halafu wewe una uhakika kama utawakuta huko hao wanawake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Abdul Aziz atueleze kama Mkewe na yeye alipata covid au lah?
 
Kwa raia wa maisha ya chini ataweza mihangaiko hiyo na gharama zake?? Mungu asaidie sana huku tukiendelea kuchukua tahadhari..
Niliugua kuanzia January 16! Nikapima, nikapewa dawa hafifu kutibu nimonia kali! Hawa pharmacist wawe wanakaguliwa uwezo wao kitaaluma! Wengi wanatoa dawa zisizo sahihi! Mpaka ile siku naanguka Kwa kubanwa mbavu na shingo kwa vichomi na kizunguzungu katikati ya mji nakukimbizwa na wasamaria wema agakhani Arusha! Kweli nimepona na dawa zilikuwa nyingi na kali haswa! Gharama nikubwa sana! ila unapata nafuu siku hiyo hiyo sijui uumchanganyiko wadawa wameujulia wapi, hawabahatishi vipimo hii inasaidia sana!
bado sijamaliza baadhi ya dawa ila nahisi nimepona!
WATU TUCHUKUE TAADHARI KAMA ILIVYOKUWA AWALI HUU UGONJWA NIKWELI UNAUA HARAKA SANA! NNamshukuru MUNGU ALINIOKOA Ila nilikiona cha moto!
 
duu
 
Mnaanza kuelewa sasa. Mie nilihangaika na boss wangu akapona, hivyo nikiona mtu anashabikia hii kitu naumia sawia
Pole Sana mkuu kumbe umepitia changamoto hii pia?
 
Pole sana kiongozi
 
Duu halafu wewe una uhakika kama utawakuta huko hao wanawake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]Imani inamtuma hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…