Uzoefu unaonesha kuwa wote wanaobeza covid-19, huishia kufa kwa ugonjwa huo

Uzoefu unaonesha kuwa wote wanaobeza covid-19, huishia kufa kwa ugonjwa huo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Uzoefu unaonyesha kuwa watu wote wanaobeza corona, huishia kufa kwa Corona, hivyo huyu mchungaji atafuata mkondo ule ule na hatamaliza hata miezi 6 na akibahatika sana, basi ni mwaka mmoja.

Kingine nachokiona kuhusu huu ugonjwa ni kuwa, ukiwa maarufu au mtu mwenye ushawishi katika jamii na unatumia vibaya ushawishi kuhusu corona, basi corona hiyo ndio itakuondoa ili kuokoa wengine na hii inaonekana ni kazi ya POWER OF NATURE.

Kwa maneno mengine, sisi watu tukio na wafuasi hata tukiibeza corona, tunaweza tu kuendelea kuishi kwani hatuna madhara.

Hata hivyo, some exceptions zipo ila huyu Mchungungazi sidhani kama atasalimika.

Time will tell.
 
Ebu mkuu weka wazi huyo ni mchungaji yupi?
 
Back
Top Bottom