Uzoefu unaonesha kuwa wote wanaobeza covid-19, huishia kufa kwa ugonjwa huo

I seco
Uzoefu unaonyesha kuwa watu wote wanaobeza corona, huishia kufa kwa Corona, hivyo huyu mchungu atafuata mkondo ule ule na hatamaliza hata miezi 6 na akibahatika sana, basi ni mwaka mmoja.

Kingine nachokiona kuhusu huu ugonjwa ni kuwa, ukiwa maarufu au mtu mwenye ushawishi katika jamii na unatumia vibaya ushawishi kuhusu corona, basi corona hiyo ndio itakuondoa ili kuokoa wengine na hii inaonekana ni kazi ya POWER OF NATURE.

Kwa maneno mengine,sisi watu tukio na wafuasi hata tukiibeza corona, tunaweza tu kuendelea kuishi kwani hatuna madhara.

Hata hivyo, some exceptions zipo ila huyu Mchungungazi sidhani kama atasalimika.

Time will tell.
Jimbo la Kawe litakuwa wazi mwaka huu wadau mjiandae
 
Corona sio ya kubeza wazee. Nina siku tatu sasa nina mafua ya kawaida tu ila siskii hafuru wala ladha yoyote. Na hii husababishwa na corona pia
 
Uzoefu unaonyesha kuwa watu wote wanaobeza corona, huishia kufa kwa Corona, hivyo huyu mchungu atafuata mkondo ule ule na hatamaliza hata miezi 6 na akibahatika sana, basi ni mwaka mmoja.

Kingine nachokiona kuhusu huu ugonjwa ni kuwa, ukiwa maarufu au mtu mwenye ushawishi katika jamii na unatumia vibaya ushawishi kuhusu corona, basi corona hiyo ndio itakuondoa ili kuokoa wengine na hii inaonekana ni kazi ya POWER OF NATURE.

Kwa maneno mengine,sisi watu tukio na wafuasi hata tukiibeza corona, tunaweza tu kuendelea kuishi kwani hatuna madhara.

Hata hivyo, some exceptions zipo ila huyu Mchungungazi sidhani kama atasalimika.

Time will tell.
Mwacheni aendelee na uchafu wake
 
Back
Top Bottom