Skidor
New Member
- Nov 25, 2018
- 3
- 15
Kwann unashauli takeaway mkuu?Chupa na glasi tumia zile za takeaway na juice sababu nzito Changanya na limau kdgo inakuwa na ladha nzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann unashauli takeaway mkuu?Chupa na glasi tumia zile za takeaway na juice sababu nzito Changanya na limau kdgo inakuwa na ladha nzuri sana
kaka unapatikana wapiMkishaanza biashara ya juice ya miwa mniambie niwe nawaletea miwa ya kukamua
Wakuu naombeni ushsuri kwa wazoefu hivi kati ya mashine za juice ya miwa zile za nje ya nchi na zinazotengenezwa bongo zipi ni nzuri zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri mkuu,nunua za sido mkuu[emoji4]
Ukipata naomba unijuze.jaman mi nauliza mashine za kutumia nguvu sido wanauza bei gani?
Naomba unielekeze vizuri mahala zilipo hizo machine za juice ya miwa.Mashine zipo aina mbili, ya kutumia umeme(mpaka 1,000,000) na manual kuanzia 350,000 pale buguruni kituoni kama unaelekea ubungo. Matumizi yanategemea sehemu ulipo(kama kuna umeme)..mimi nilikuwa nayo hiyo manual hapo ubungo songas kwasiku nilikuwa napata faida 30,000 baada ya kutoa matumizi yote..changamkia fursa binafsi nimepatia mtaji hapo
Kwa dar ni soko gani linauza miwa mizuri
Ukiweka kwenye frem unakua umeiongezea Quality.pia machine zipo kuna ndugu yangu ndo biashara yake yupo kariakoo mtaa wa Mafia ntamuuliza halafu ntakupim au ukitaka namba yake nakupa pia
Arusha maeneo gani upo mkuu???
Mkuu ntakutafutaNawaomba Kwa anayeanza tuwasiliane akinunua mashine vitu vingine kama banners glasi na chupa resealable ntampa
Mkuu ulifanikiwa... sorry japo ni post ya kitambo sanaaHabari wakuu mi nna kibanda changu cha bati nilikuwa nimefungua libraly ya kuuza vifaa vya simu na kuingiza nyimbo kipo stop over ni eneo zuri kwa biashara hiyo kama kuna mdau anaweza kuniwezesha tukasaidiana kubadilisha biashara tuuze miwa inalipa sana sema mtaji wangu umekata nilikuwa naomba msaada tutashare au mkataba no yangu ni hii 0717111140 ni serius wakuu
Spair gani na gani unauza mkuu na bei zake zipojeMkuu hizo hauna shida ya kusumbuka sana, huwa zinatengeza na mafundi welding, au veta,
ila kama hapo ulipo hakuna hao mafundi, basi tunaweza kufanya biashara, au nikakuuzia Spare ili iwe rahisi kusafirisha, so wewe ukipata spare unakwenda kwa mafundi wanakuunganishia tu