Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

Naomba unielekeze vizuri mahala zilipo hizo machine za juice ya miwa.
Naihitaji
 
Mi natafuta location machine ninayo, niulizie
Ukiweka kwenye frem unakua umeiongezea Quality.pia machine zipo kuna ndugu yangu ndo biashara yake yupo kariakoo mtaa wa Mafia ntamuuliza halafu ntakupim au ukitaka namba yake nakupa pia
 
Mkuu ulifanikiwa... sorry japo ni post ya kitambo sanaa
 
Spair gani na gani unauza mkuu na bei zake zipoje
 
WAKUU MWENYE MASHINE YA KUKAMUA JUICE YA MIWA USED ILE YA KUTUMIA MKONO NAHITAJI,NJOO NA BEI YAKO,PICHA NA UELEZE IKO KATIKA HALI GANI. NIKO MTWARA.
 
Wapendwa nawasalimu kwa upendo wa dhati kutoka kwangu,nina wazo la kuuza juis ya miwa eneo Dar.Naomba kuuliza mambo yafuatayo,

1.Naweza anza na mtaji wa sh ngapi kwa maana ya vifaa,materials ya kutengenezea n.k

2.Upatkanaji wa mali ghafi.

3. Changamoto zake.

4.Faida yake unayoweza kupata.Note sitasimama mwenyewe nikianzisha namuweka mtu ,mm nitakuwa naonekana wekend tu.Naomba msaada tafadhali kwa anaejua
 
Abdul Mganyizi,
Viewers wengi ila hakuna majibu, hapa kifuatacho ni kuingia field kiongozi, mikoa yenye joto inafanyika hii business.......tafiti ndogo niliyofanya juu juuu inalipaaa. Sijapata bei ya utengenezaji mashine Sido, pia ubora wa imported mashine na za Sido??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…