Vera ginger JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 1,458 Reaction score 1,887 Nov 3, 2019 #201 Inalipa sehemu ya watu wengi na ubunifu zaidi iwepo kwenye utengenezaji
LOVE U JF JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 2,138 Reaction score 1,639 Nov 29, 2019 #202 Tatizo hamjui hata kuomba ushauri kwamaana ya maelezo uko wapi geografia ya eneo pendekezi ,halafu unalaumu eti uzi hauna wachangiaji , acha uvivu wa kujiekeza bythe way Njombe kuna baridi hautouza .
Tatizo hamjui hata kuomba ushauri kwamaana ya maelezo uko wapi geografia ya eneo pendekezi ,halafu unalaumu eti uzi hauna wachangiaji , acha uvivu wa kujiekeza bythe way Njombe kuna baridi hautouza .
Dimlyt Senior Member Joined Aug 1, 2019 Posts 105 Reaction score 163 Dec 2, 2019 #203 Mbna amesema hapo "Eneo Dar" mkuu?