Mimi nauza juisi ya miwa za kisasa mpya kabisa 1,150,000/ tu 0715677739Habari wakuu.
Nna mpango wa kuanzisha biashara ya juice ya muwa. ... mwenye experience anisaidie tafadhali (mtaji, mashine etc)... nipo Dar.
Naomba kuwasilisha[emoji120] [emoji120]
vyambo au?Nime ambua
ahaaa je hizo mashine ya umeme naeza pata wapi ?
sido iko wapi kiongoziMashine waweza pata sido zile zisizotumia nguvu zinauzwa 1.5M lakini pia zipo za kutembeza zenye matairi zinatuma mota ni 2M
Glasi zinapatikana kariakoo
Nasikia biashara ina faida
Nami soon nitakuwa muuzaji ila nitanunua ya kutembeza
Vingunguti, njia ya kwenda gongolamboto kuna kituo kinaitwa Sidosido iko wapi kiongozi
shukran sanaVingunguti, njia ya kwenda gongolamboto kuna kituo kinaitwa Sido
Kuna mashine niliona za mchina ni balaa....yaani unaweka kipande cha muwa unakinga juice hata haushiki yale madude yao.
Nina wasi wasi na weweKuna mashine niliona za mchina ni balaa....yaani unaweka kipande cha muwa unakinga juice hata haushiki yale madude yao.
madude gani kiongozKuna mashine niliona za mchina ni balaa....yaani unaweka kipande cha muwa unakinga juice hata haushiki yale madude yao.
habari wana jamii forum ! naombeni ushauri wa mawazo na ushauri wenu mm nina mtaji wa mil 3 nataka kufanya biashara ya juice ya miwa lakini nataka niiweke kwenye fremu je italipa naombeni ushauri wenu !kingine mashine nitazipata wapi ?na pia nahitaji disposable glass ntazipata wapi ?asanten naiman mtanisaidi ndugu zangu
shukranUtapata faida tu ikiwa unauhakika wa kuuza sana ila kama mauzo yapo chini ni hasara bin hasara, usione ukadhani.