Uzoefu wa kufanya manunuzi kivuko.com

Uzoefu wa kufanya manunuzi kivuko.com

Ignorant

Member
Joined
Mar 9, 2008
Posts
27
Reaction score
6
Nimekutana na website ya kuuza bidhaa kwa njia ya mtandao ya hapa Tanzania inaitwa kivuko. Tanzania Online Shopping gateway. Kwa yeyote ambae amewahi kufanya manunuzi tafadhali atueleze uzoefu wake. Ikijumuisha urahisi au ugumu wa kufanya malipo, muda wa kusubiri bidhaa, nk

Ahsante
 
Back
Top Bottom