Uzoefu wa kuibiwa/kutapeliwa Dar es Salaam

Uzoefu wa kuibiwa/kutapeliwa Dar es Salaam

Kuna makampuni Dar huwa wanauzwa viwanja, wanadai ukimaliza kulipia wanakupatia na hati kabisa, sio wapigaji??
 
Kuna makampuni Dar huwa wanauzwa viwanja, wanadai ukimaliza kulipia wanakupatia na hati kabisa, sio wapigaji??

Kuna ambao wapo uhakika na mimi nalipia kidogo kidogo
 
Kuna makampuni Dar huwa wanauzwa viwanja, wanadai ukimaliza kulipia wanakupatia na hati kabisa, sio wapigaji??

Nilipigiwa hapa

Japo haikuwa kampuni

Ila Nyie mbwa sijasamehe
 
Kuibiwa kupo sana. Wengine huwa wanadomdosha wanasema wameibiwa. Mi kuna siku nipo kariakoo ule mtaa wa spea za magari kule gerezani kuelekea machinga complex nikashuhudia jamaa anatoa simu akadondosha wekundu wa kutosha. Mmoja wa wale madalali wa spea jirani na duka nililokuwepo akaiwahi chap ilikua 130k . Huyo jamaa kule alikokua anaenda lazma alijua kaibiwa
 
Katika vitu vimenipa pesa ni mali za wizi mpaka nafanya kuchagua.
asante mungu nipo na maisha mengine yana kwenda maana matukio ya hawa vijana wengi wamepotea.
 
Back
Top Bottom