POTIZILLAH
Member
- Apr 30, 2011
- 87
- 158
Hauogopi kulipukiwaWajuzi wa mambo hapa naomba msaada wenu wa uzoefu, ninataka kufunga mfumo wa gesi kwenye TOYOTA - IST. Naomba kujua nitegemee kupata shida gani kwenye hiyo gari mi nachojua ni kuwa nita-save matumizi ya mafuta, naomba mnipe tahadhari ili nijue kama niendelee na huu mchakato au niachane nao, Maana hasara ikiwa kubwa kuliko faida ni shida
watu wanaenda nayo vizuri tu mkuuHauogopi kulipukiwa
Kwani petrol huwa hailipuki?Hauogopi kulipukiwa
NzuriWajuzi wa mambo hapa naomba msaada wenu wa uzoefu, ninataka kufunga mfumo wa gesi kwenye TOYOTA - IST.
Naomba kujua nitegemee kupata shida gani kwenye hiyo gari mi nachojua ni kuwa nita-save matumizi ya mafuta, naomba mnipe tahadhari ili nijue kama niendelee na huu mchakato au niachane nao maana hasara ikiwa kubwa kuliko faida ni shida
Hiyo kazi roho sana.Kwani petrol huwa hailipuki?
Dah hatari sanawatu wanaenda nayo vizuri tu mkuu
Mods inafanywa na wataalam.Hizo modification ndo mwanzo wa kuharibu gari, kama unaipenda gari yako achana na hizo habari. Walioitengeneza kwa ajiri ya petrol sio wajinga.
Mafuta ya 2m kwenye IST unatumia muda gani?Wajuzi wa mambo hapa naomba msaada wenu wa uzoefu, ninataka kufunga mfumo wa gesi kwenye TOYOTA - IST.
Naomba kujua nitegemee kupata shida gani kwenye hiyo gari mi nachojua ni kuwa nita-save matumizi ya mafuta, naomba mnipe tahadhari ili nijue kama niendelee na huu mchakato au niachane nao maana hasara ikiwa kubwa kuliko faida ni shida
Una uhakika kabisa mkuu.Hiyo kazi roho sana.
Maana ni very flammable than petrol
Hauogopi kulipukiwa
Ile ni natural gas na sio hizi gas zetu za majumbani za kupikia misosi. Kiufupi petrol ni more flammable than natural gas... Ni salama SanaHauogopi kulipukiwa
Ila angeianzisha msauzi mngekimbiza mapumbu kwenda kufungiwa sababu ni mkaburu! Ndio maana Ontario sir jeff denis aliwasuuza kirahisi sababu ya ulimbukeni wenu wabongo wengi.mmmh! hizi teknolojia za wabongo sio za kuamini yatakutokea aliyosema bwana Kasomi
Tatizo wabongo ni wazinguaji sanaIla angeianzisha msauzi mngekimbiza mapumbu kwenda kufungiwa sababu ni mkaburu! Ndio maana Ontario sir jeff denis aliwasuuza kirahisi sababu ya ulimbukeni wenu wabongo wengi.
Principles za hesabu, physics na chemistry zikifuatwa matokeo ni yale yale hata yangefanywa na mmarekani.
Hauogopi kulipukiwa