Uzoefu wa matumizi ya gesi kwenye gari

Ulivyofanya uchunguzi uliambiwa ukiweka ges inakulaje na petrol inakulaje,isije ikawa tofauti yake ni ndogo sana kwani nasikia hivyo vigari ni vinanusaga balaa
 
Ulivyofanya uchunguzi uliambiwa ukiweka ges inakulaje na petrol inakulaje,isije ikawa tofauti yake ni ndogo sana kwani nasikia hivyo vigari ni vinanusaga balaa
Gesi inakula kidogo sana, tena sana ila sijajua athari zake kwa vitu vingine kama engine na vitu vingine
 
Matumizi ya Gesi kwa modification za Bongo lazima uharibu gari
Unafahamu chochote kuhusu ufungwaji wa gesi kwenye magari na taasisi (wataalamu) zinazofunga hiyo mifumo hapa Tz? Hebu fanya ka utafiti kidogo. Hebu pita DIT upate maarifa. Otherwise, pita YouTube uwasikie wataalamu kutoka DIT wakifafanua kuhusu hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…