Hawa jamaa ndio milango ya pesaNenda mahakama ya mwanzo Mbagala ukaone jinsi polisi waendesha mashtaka na makarani walivyo relax na majukumu yao km kuita mafaili ya kesi,taratibu za kutoa dhamana nk, kuwaachia watu ambao si wafanyakazi wa idara ya mahakama kufanya kazi hizo. Majukumu hayo wameachiwa vibaka wanaotumia mwamvuli wa ulinzi shirikishi /sungusungu ambao ni mawakala wa mapolisi na makarani hao ili kufanikisha upokeaji/utozwaji wa rushwa bila wahusika hao kuishiriki na kujihusisha moja kwa moja.
Na shida inakuja zaidi pale mdeni wako anapokwambia ukitaka nenda mahakamani uzuri deni halifungi.Shida inakuja pale deni linapogeuka jinai