Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio maana hao nj equity na hawa ni CRDBMbona equity bank wanakupa kadi siku hiyo hiyo na jina lako wanaandika
Kumbe nskate tamaaInaonekana muhudumu uliyekutana naye hakuwa na uwelewa juu ya online shopping hususani kwenye swala la registration.
Hata mimi mwanzoni nilikutana na muhudumu asiyejua chochote kuhusu ana na online shopping alinipotezea muda wangu kama mwez mmoja hadi pale nilipoamua kwenda tawi lingne na kukamilisha huduma huduma hiyo ndani ya siku moja.