Uzoefu wangu kuhusu faida za Tembo Card VISA na MASTER CARD

Equity bank ndiyo baba lao kwa online transactions.
 
CRDB upande wa online transactions wapo nyuma sana. Lakini Equity bank zile taarifa zako ulizopeleka wakati unafungua account zinatosha. Hakuna kujaza form tena wala kuwafuata tena. Ukipewa Visa card tayari inakuwa active, wewe ni kujisajili tu PayPal na mambo yanakwenda.
 
Upande wangu form niljaza yangu Mwez Wa NNE tawi la musoma crdb wakasema watantumia kwa email yang mpaka Leo sjaona ktu
 
Inaonekana muhudumu uliyekutana naye hakuwa na uwelewa juu ya online shopping hususani kwenye swala la registration.
Hata mimi mwanzoni nilikutana na muhudumu asiyejua chochote kuhusu ana na online shopping alinipotezea muda wangu kama mwez mmoja hadi pale nilipoamua kwenda tawi lingne na kukamilisha huduma huduma hiyo ndani ya siku moja.
 
Kumbe nskate tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…