Uzoefu wangu kwa wachangia mada JF

Uzoefu wangu kwa wachangia mada JF

  1. Ukiona umerusha mada ikaanza kuchangiwa kwa kuungwa mkono ujue mwishowake huenda ikaishia kwa kupingwa sana...............hii huenda nachangiwa na kwamba kuna wachangiaji wamejipanga kiitikadi yaani kama uzi utaelekea chama fulani basi atakeyanza inategemea ni wa chama chenye mrengo wa kuunga mkono hoja ama kupinga na baada ya uda wataanza mapovu wenye itikadi nyingine......kiitikadi hapa namaanisha hata wapenzi wa mpira na dini wamo humo.
  2. Wapo wanaosoma tu kichwa cha habari na kwenda mja kwa moja uzi ulipoishia ili achangie msimamo wake
  3. Kuna watu wameumbiwa kuponda tu mada hata iwe ya mrengo gani
  4. Mustakabali wa kuweka au kupewa Like hautabiriki inagwa wengi hufanya kwa malipizi, yaani kama kwake huweki na kwako haweki japo pia wapo wanaweka kwa kuangalia umaarufu/nafasi/itikadi ya mtu maana imenenwa kila mtu na mtuwe
  5. Wachangiaji wengi wa usiku ndi huchangia kimashiko ilihali wale wa mchana wengi ni kama wapita njia tu
  6. Kauzoefu kangu kanaonyesha wakongwe/maarufu hata waanzishe thread au kuchangia pumba husifiwa tu na km ni kukosolewa basi ukosolewa kwa heshima

    Sasa wewe ambaye siyo maarufu andika thread ya maana husifiwi kivile na km umeandika pumba tegemea kutukanwa kila sina ya tusi
    Utasikia Rudi Facebook.
  7. Na tupo ambao wa tunapita tu bila kuacha hata comment kama hatupo vile
Post-Approvals-2_Blog-865x487.jpg

UZI HUU NI LIVING NA UTAKUA UKIJAZIWA KADRI UTAFITI UNAVYOIBUA

...........wewe umegundua nini.....?
Utafiti wako una MAPUNGUFU kidogo, umeshindwa kulitambua KUNDI ambalo ndilo kwa asilimia kubwa hutumia hiki kinachoitwa MITANDAO YA KIJAMII (Social Media)..

Hili ni karibu ya 70% ya watumiaji wote si Tanzania tu bali DUNIANI kote.

Hili ni KUNDI la Raia (wanachama) walio kata tamaa ama kuchoshwa na mtindo/aina ya Maisha (life style) yaliyopo katika Mazingira yanayo wazunguuka.

Hili ni kundi ambalo pengine sehemu kubwa ya Raia wake wamechoshwa kuwa wahanga wa Dhuluma, Chuki na Uonevu wa wazi.

Hili ni KUNDI kubwa la mfano wa wale waliokosa MKOPO..Waliokutwa na VYETI FEKI..BODABODA wanao sumbuliwa barabarani...Wagonjwa wanao kwenda HOSPITALI na kujikuta pesa waliyo nayo MKONONI haitoshi kinunua DAWA.

Hili ni KUNDI la wale walio poteza HAKI zao POLISI na wengine MAHAKAMANI.

Kwa kifupi wengi huingia na kutumia haya MAJUKWAA (forums) kama sehemu ya kufikisha UJUMBE na wengine ni sehemu ya KUPOZA machungu kutegemea ni namna gani ya JANGA alilo kutana nalo kama changamoto katika mizunguuko yake.

Chazo cha hizi SOCIAL media haikuwa sehemu ya TAMU katika jamii..
Bali ni KUPASHANA...KUELIMISHANA haki..KUPINGANA kwa hoja n.k.

Hitimisho langu kwa mleta MADA...usitarajie MISUGUANO kwa mada zisizo hitaji KUPINGWA ama kuwagawa watu (Kiuchumi, Kiimani, Kisiasa).

Jaribu kutengeneza MADA (Thread) katika mfumo wa SIMULIZI na utambulike msimamo wako unaegemea wapi ama nini katika NYUZI zako kwa kufikia hayo natumaini nawe waweza kuwa mfano wa watu kama THE BOLD...NYANI NGABU...MSHANA jr na yule mwenye AVATAR ninayopenda kuitazama kila siku ya BINTI Mahondaw...

N:B Kupingwa ama kukosa like KUKUPE changamoto ya Kukoment kwa HEKIMA ukiwa na research ama proof angalau ya 60%

Anzisha NYUZI itakayo fanya ama kuwezesha baadhi ya GREAT thinkers kuingilia KATI...hiyo itatuvuta na VIDAGAA...[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mawazo yanahitajika...!!
 
Mm nligundua weyback, ndo maana sijawai kuanzisha thread, nausoma mchezo kwanza,

Cha muhimu ujue humu kuna type za watu mbalimbali, hakuna type iliyokosa,

Pia kuna nyuzi OG na fake!

Cha muhimu zaidi huwa na enjoy nyuzi zote,

[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Utafiti wako una MAPUNGUFU kidogo, umeshindwa kulitambua KUNDI ambalo ndilo kwa asilimia kubwa hutumia hiki kinachoitwa MITANDAO YA KIJAMII (Social Media)..

Hili ni karibu ya 70% ya watumiaji wote si Tanzania tu bali DUNIANI kote.

Hili ni KUNDI la Raia (wanachama) walio kata tamaa ama kuchoshwa na mtindo/aina ya Maisha (life style) yaliyopo katika Mazingira yanayo wazunguuka.

Hili ni kundi ambalo pengine sehemu kubwa ya Raia wake wamechoshwa kuwa wahanga wa Dhuluma, Chuki na Uonevu wa wazi.

Hili ni KUNDI kubwa la mfano wa wale waliokosa MKOPO..Waliokutwa na VYETI FEKI..BODABODA wanao sumbuliwa barabarani...Wagonjwa wanao kwenda HOSPITALI na kujikuta pesa waliyo nayo MKONONI haitoshi kinunua DAWA.

Hili ni KUNDI la wale walio poteza HAKI zao POLISI na wengine MAHAKAMANI.

Kwa kifupi wengi huingia na kutumia haya MAJUKWAA (forums) kama sehemu ya kufikisha UJUMBE na wengine ni sehemu ya KUPOZA machungu kutegemea ni namna gani ya JANGA alilo kutana nalo kama changamoto katika mizunguuko yake.

Chazo cha hizi SOCIAL media haikuwa sehemu ya TAMU katika jamii..
Bali ni KUPASHANA...KUELIMISHANA haki..KUPINGANA kwa hoja n.k.

Hitimisho langu kwa mleta MADA...usitarajie MISUGUANO kwa mada zisizo hitaji KUPINGWA ama kuwagawa watu (Kiuchumi, Kiimani, Kisiasa).

Jaribu kutengeneza MADA (Thread) katika mfumo wa SIMULIZI na utambulike msimamo wako unaegemea wapi ama nini katika NYUZI zako kwa kufikia hayo natumaini nawe waweza kuwa mfano wa watu kama THE BOLD...NYANI NGABU...MSHANA jr na yule mwenye AVATAR ninayopenda kuitazama kila siku ya BINTI Mahondaw...

N:B Kupingwa ama kukosa like KUKUPE changamoto ya Kukoment kwa HEKIMA ukiwa na research ama proof angalau ya 60%

Anzisha NYUZI itakayo fanya ama kuwezesha baadhi ya GREAT thinkers kuingilia KATI...hiyo itatuvuta na VIDAGAA...[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mawazo yanahitajika...!!
Dagaa [emoji16] [emoji16]
 
well said
 
Kauzoefu kangu kanaonyesha wakongwe/maarufu hata waanzishe thread au kuchangia pumba husifiwa tu na km ni kukosolewa basi ukosolewa kwa heshima

Sasa wewe ambaye siyo maarufu andika thread ya maana husifiwi kivile na km umeandika pumba tegemea kutukanwa kila sina ya tusi
Utasikia Rudi Facebook
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hivi hao maarufu wakoje kwani hapa maana nashangaa watu wanasema hapa kuna watu maharufu
 
Back
Top Bottom