#COVID19 Uzoefu wangu kwenye chanjo ya COVID-19 leo

#COVID19 Uzoefu wangu kwenye chanjo ya COVID-19 leo

mimi nimepiga chanjo, sijapata cheti, ila kuna kikaratasi walikuwa wanajaza tu kwa mkono taarifa zangu, ndio cheti mnachoongelea?
 
Duh kama online booking imefeli basi hakuna haja tuendelee kujifukiza
Ndugu nenda kachanje
Just go with your online booking, shida kuna many advocates people Pia wanakwenda na waratibu wanashindwa kutenganisha waliofanya booking na wasiofanya

I hope kutakua na mabadiliko

but mwamko ni mzuri sana

Wahi kuchanja isije ikawa kama issue ya vitambulisho vya nida
 
Back
Top Bottom