Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Acha unafiki wewe! Tabia ya unafiki sio nzuriNimeipenda hii the motive behind.
Yaani mzungu anawaelewa Waislamu na kuwapatia mahali pa kufanya ibada tena ulaya ambako Ukrustu umetamalaki, halafu hapa Tanzania ambapo Waislamu ni wengi zaidi ya Wakristo, mtu anyimwe pa kuswalia?. This is impossible. Tuelezee zaidi Dodoma kumetokea nini?, naamini sio lile tukio la Kondoa, yule mama inambidi apumzishwe tuu.
P
Kwa vile Wakristu tunajaa makanisani siku za ibada, hivyo unajua Wakristu ndio wengi Tanzania?. Jee unayajua matokeo ya sensa ya mwisho Tanzania kuweka kipengele cha dini?. Vitu vingine kama hakuwahi kuvijua for certain, don't assume, just keep quiet.Acha unafiki wewe! Tabia ya unafiki sio nzuri
Najua unacoment hivi ili kuwafurahisha wanaokuzunguka
Waislam wengi kuliko wakristu? Hapo ndio umejivua nguo
Kwa vile Wakristu tunajaa makanisani siku za ibada, hivyo unajua Wakristu ndio wengi Tanzania?. Jee unayajua matokeo ya sensa ya mwisho Tanzania kuweka kipengele cha dini?. Vitu vingine kama hakuwahi kuvijua for certain, don't assume, just keep quiet.
Wewe ni mgeni humu jf, tangu lini mimi Pasco wa JF, na comment ili kumfurahisha mtu?.
Pole.
P