Uzur wa mwanamke unaweza changia kuolewa ila tabia ndo itaamua

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Mwanamke ni tabia wala sio wowowo au shep yake

Lakin tusiwe wanafiki sisi wanaume huanza na shep kwanza pamoja na wowowo alaf ndo inakuja tabia

Kwa sababu sisi huanza na sura then tabia badae hivyo sura ya mwanamke inaweza changia kuolewa kwake kwa asilimia kubwa sana lakin tabia yake ndo itayoamua muda ambao atabaki kwenye ndoa

Mwanaume angalia tabia achana na sura, sura zingine ni za kubost

Naomba tuelewane wote kwa pamoja ni kwamba SURA YA MWANAMKE ITACHANGIA KUOLEWA KWAKE LAKIN TABIA YAKE NDO ITAKAYO AMUA MUDA AMBAO ATABAK NA KUDUMU KWENYE NDOA

ni hayo tu ngoja niwape kapicha wadau kakumanisha uzur wa mwanamke
Ni meweka picha maana hakuna chai bila vitafunio na huu uz bila picha usiingeenda kabisa

LONDON BABY
 
Uzuri wa mwanamke ni kiama kianzio kwa mwanaume cha kuambua awe nae au laah...

Kama ulivyosema, taabia ndiyo muamuzi wa ni muda gani utadumu nae..

Well said...

Cc: mahondaw
 
Hili ni kweli na halina mjadala. Wanaume wakati mwingine huoa kwa mihemuko ya ngono. Mihemuko ikizoeleka mwanaume anaangali tabia maana ndiyo itampa amani ya moyo. Mwanamke hata kama ni mzuri vipi akishaanza kuboa mwanaume hujikuta anaanza kutouona huo urembo wake. Nakubaliana na wewe mkuu.
 
Mwanamke ni wowowo, tako, inye gwedegwede, msambwanda, zigo, makalio. Tabia nitamfundisha taratibu kama mtoto anayeanza kuongea!!
Huwez kumkunja samak mkavu labda tu unataka avunjike
 
Uzuri wa mwanamke ni kiama kianzio kwa mwanaume cha kuambua awe nae au laah...

Kama ulivyosema, taabia ndiyo muamuzi wa ni muda gani utadumu nae..

Well said...

Cc: mahondaw
Yes ndo hivo mkuu tabia yake ndo mda wake
 
tupo zungumzia tabia tuna maana ya tabia zipi ? ukweli ni kwamba wanadamu hatufanani kwa lolote kwa maana yakua kila mmoja ana tabia yake isipo kua kuna tabia pendwa au tabia rafki, hii ina tegemea na mtu anae kaa na mwanamke mwenyewe, mleta mada rabda ungetueleza ni tabia zipi ambazo ni kusudio kwa kudumisha ndoa,usicho kipenda wewe mwenzako ana kipenda ,mleta uzii una maana yakua tabia ni kwa mwanamke tuu ? mwanamee c muhimu? mkuu una maana yakua ndoa kudumu ni kwa tabia ya kina mama zetu tuu ? mwana ume awezi achwa hata akawa na tabia mbovuu,? mkuu una taka kuniambia walio na tabia mbovu wasiolewe kwa kua ndoa hazita dumuu au waolewe na walio na tabia sawiya? kiupande wangu mm watu wawili kukosana mpaka kuachana mara nyingi ni kwa tabia ilio jitokeza wala c tabia asilia, neno langu kwa wana jf si wanawake pekee kwa tabia zao ndo usababisha kusto dumu kwa mausiano hata wanaume pia[emoji1488]
 
Wanawake wazuri msiwaoe, hawa ndo vipoozeo pindi mambo yanapotait kwenye ndoa. Ukiwa kichwa ngumu ukamwoa tutamfuata ndani kwako tumle we utabaki kuwa mtoa matumizi
 
Hathwa
 
Mimi napenda mwanamke mwenye kila kitu wastani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…