Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Momi mpira kwa sasa hauniumizi tena. Naangalia tu km burudani nikimaliza hapo basi. Nimewa unfollow viongozi wote na timu husika kwenye mitandaoUlivogundua hivo ulichukua hatua gani mkuu
Naanza pia na mimi hivo, itabidi pia nipunguze kuangalia mpira. Nisiweke kabisa kwenye ratiba zanguMomi mpira kwa sasa hauniumizi tena. Naangalia tu km burudani nikimaliza hapo basi. Nimewa unfollow viongozi wote na timu husika kwenye mitandao
Mkuu mimi nimerudisha mapenzi kwenye mpira wa ulaya. Kiukweli na enjoy sana. Leo kuna Chelsea na Man CityNaanza pia na mimi hivo, itabidi pia nipunguze kuangalia mpira. Nisiweke kabisa kwenye ratiba zangu