Uzuri na hela

Uzuri na hela

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Wasalaam wana JF
Nilikua na intoxicate myself nahisi kama kuna uhusiano kati ya uzuri na hela.
Niko sehemu very poshy iko na watoto wazuri sana nadhani ata mbinguni hakutakua na watu wabaya.
Kwani waislam wanasemaje mabikira 7 si ni pisi kali?
 
Back
Top Bottom