Uzuri na ubaya wa gari za BMW

Uzuri na ubaya wa gari za BMW

Hazina tatizo ni gari nzuri ila tu zinagharama kwenye Vipuri na zinabwia wese vibaya mno
 
Je gari za BMW zina uzuri gani na ubaya gani kitaalam zaidi???Specifically BMW X3
The best car... Suala la spares ni la kawaida sana, zinapatikana mda wote... Its not some cheap car... Nona x5 ya 2007 i love love it all the way... Speed, comfortablity, safety, ulaji wa mafuta kawaida sana... Kiufupi nina commute nalo kama kawaida
 
Most of Germany Car ziko economical kwenye ulaji wa mafuta, BMW X3 yenye cc 2500 ulaji wako wa mafuta ni kidogo kulingana na Toyota au Nissan yenye cc 2500. Kuhusu spare usiogope, spair zake ni genuine ukiweka unasahau, kikubwa ukiwa na hizi gari epuka shortcut za wanomiliki Toyota na Nissan, kujidai wanamodify spair ya Harrier anaifunga kwenye Brevis, huku nyeupe ni nyeupe
 
Back
Top Bottom